Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

An economic expert from "Mluganzela School of Economics" outlining his views concerning the potential economic repercussions to the European countries following their intention to stop importing the Russian energy.
 
Putin kawapiga apakat lazima wakae
 
Watu sasa ndio wanaongeza kasi ya kuwekeza kwenye Renewable Energy ambaye bado ameweka akili yake kwenye Fossil Fuels atabaki gizani akipigwa baridi.

Hydrocarbons have no future in our modern world 🌎
No future after a thousand years from now.
 
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

Source: BBC
Mtamfanya bwana yule awapige nyuklia .....
mwenye njaa hanaga akili....
 
Naule wa Nord Stream 1 nawenyewe umesimama pia nasikia
 
Kwenye mita ujazo ngapi ambazo EU wanapata tokea RUSSIA?
 
Kwa hiyo wewe mwananchi wa Buza kwa mpalange ndio umemaliza kubwatuka ushuzi huu!
 

Kwa hiyo baada ya nordstream 2 mahitaji yangepanda kutoka 40 mpaka 54% hivi
 
Hivi vikwazo huwa havikuli kwa haraka haraka kama wengi wanavyofikiri. Hivi sasa inatafutwa njia nyingine ya kupata gesi, urusi ndio amewapa akili sasa kuachana na hiyo gesi yake. Baadae utasikia hakuna nchi ya ulaya inayotegemea gesi toka urusi
Unachosema ni kweli, lakini ni lini ulaya itaacha kutumia gesi ya urusi? Kumbuka 40% ni gesi ya urusi pale ulaya.
Je USA ata supply gesi kwa mazingira gani? Je ni meli? Je atajenga bomba? Vyovyote itavyokua, gesi hiyo itakua gharama kubwa mno. Kumbuka kua nchi za kibepari zinaangalia interest, itakua ni ngumu kumfurahisha US wakati wananchi wa ulaya wanaumia na bei.
Ukiacha siasa na media propaganda.. ni ngumu kupata mbadala wa gesi ya Russia kwa miaka 10 ijayo.
 
Ndio mkuu marekani jana wametangaza badala yake soko litahamia kwao, ni Putini amekosa yote pengine Marekani pia alikuwa anataka soko la gesi ikawa hajui ni kwa vipi putini atamnyanganya lakini ngoma imekuja automatically
Swali hapa ni kwamba Marekani anayo gesi ya kutosha kuwahudumia raia wake na ya kuuza ulaya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…