Mkuu haya mambo hayajatokea bahati mbaya.. watu washacalculate mda tu, na Putin anaenda tu bila brake.. wenzie wanatumia akili yeye anaonyesha mavifaru.. wakifanikiwa kumtoa kwenye ku supply gas europe uchumi wao utashuka sana, anawategemea sana kwenye hilo soko asikwambie mtu anauza sana yaani.. hata akiweka sijui auze kwa hela yake, kuna mikataba ya international transactions kuwa us dollar ndio means of transactions, sasa subiri wamtoe abaki na hao wachina na wenzie awauzie.. watu wanamtoa kwenye deals za maana.. tusubiri tuone