Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

Shida tunajihis kuwa tunauwezo wa kufikiri kuliko ata Putin na Wasaidzi wake!

Nenda kasome "Powe of Siberia 1 na 2"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
With time, Europe will adapt and get new sources.
 
Hujui kwamba US umeweka vikwazo vya supply ya dollar kwa Russia sasa hapa ulitaka afanyaje zaidi ya kutumia pesa yake,ruble?
 
What ever lakini lengo ni kumuumiza putini, tunaunga mkono juhudi za west
Kwamba yeye Putin kwa hio miaka 8 atakuwa hajapata wa kumuuzia tu! Kenge kweli nyie 😂 siku zote mwenye nguvu ni mwenye mzigo na ndio maana hata mafuta ya kula bei mnapangiwa wanavyotaka wafanyabiashara na mtanunua tu amna namna
 
Kwahiyo we unaakili kuliko warusi wenyewe tena ni majajusi [emoji3][emoji3] ,Yani humu jf Kuna watu vituko kwel
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 umenichekesha sana, yaani Tangia hii vita ianze humu ni full comedy
 
Germany anasma ataanza kupunguza utegemezi wa Gas toka Russia baada ya miaka 5! Huku Russia alishaingia mkataba na China mwezi January wakujenga bomba la pili kubwa zaidi ya lile la kwanza la "Power of Siberia 1 liloanza kupeleka gasi China anzia 2019, sasa atajenga Power Siberia 2 ambayo kubwa zaidi ilikuodokana na utegemezi wa Ulaya kuhusu mapato!

Dalili zilionekana tangia mwaka jana mara baada ya kuanza ujenzi wa Nodstreem 2 ambapo USA hakutaka kabisa ilo bomba lijengwe kwenda Germany na hapo Warusi walishajua kuwa huku sio siko japo waiendelea kujenga maana Germany akihitaji ila USA hakutaka!

USA hataki nchi ambazo yuko kinyume nayeye ziwe imara kiuchumi ata zimpite ilo hataki kabisa na ndiyo maana alifanyua figisu Huawei na China yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walioweka vikwazo hawataki wawekewe vikwazo [emoji16][emoji16]
Mibinafsi sana hiyo mitawala ya west, na safari hii, hii ngoma mpaka mwisho lazima balance of world power itokee, dollar ipoteze, china iibuke na Africa itarise sana kwa biashara ya mafuta na gas ambayo lazima tutafanya watake wasitake na mibarafu yao ,
 
Nawaambia ukweli ndugu zangu, vita ya uchumi ni mbaya (Magufuli 2020).
 
Wakanunue huko sasa kama wanaweza
Hivi vikwazo huwa havikuli kwa haraka haraka kama wengi wanavyofikiri. Hivi sasa inatafutwa njia nyingine ya kupata gesi, urusi ndio amewapa akili sasa kuachana na hiyo gesi yake. Baadae utasikia hakuna nchi ya ulaya inayotegemea gesi toka urusi
 
Unakuta dogo kama wewe umemaliza chuo kikuu, unasubiri ajira. Embu andika tena materc....
Unavyotype nyuma ya keyboard uwe unatumia akili kutafakari na siyo kinyeo chako hiko.

namzungumzia Putin wewe ,kihelehele cha nini kama mbolo imekuingiaa kumani

mpuuzi mkubwa ww
 
US ni mwanaharamu, ila huwezi mlaumu mkuu, to be on top unahitaji mambo mengi sana figisu ni lazima haya mambo yapo karne na karne.. survival of the fittest only the strong survive
 
Shida tunajihis kuwa tunauwezo wa kufikiri kuliko ata Putin na Wasaidzi wake!

Nenda kasome "Powe of Siberia 1 na 2"View attachment 2165617

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu unaamini sina uwezo wa kufikiri zaidi ya Putin ama baadhi ya wasaidizi wake au wewe unajiona kabisa huna uwezo wa kufikiri? Na unaamini kujua hizo siberia ndio uwezo wa kufikiri au sizifahamu?

Sawa mkuu
 
Mbna kama kajamaa kanalia lia RUBO tuu kma hawataki waache
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Ndio imeishaamua kutokuziheshimu hizo terms
Mnataka tuoni RUBO hamtaki pikieni MKAA
RUSSUA sio ZIMBABWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…