Msimsonge songe Mama tafadhali. Kwenu hamna jema.Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
We ni mpuuzi sana.Walakini uko wapi hapo?
Hebu nioneshe.
Zama zimebadilika ndugu. Umuhimu wa hadhira siyo idadi bali ni thamani yake. (Significance of the audience is not number but it's value).Lazima lugha inayotumiwa iakisi "hadhira pana" inayolengwa.
Hao unaowaita wawekezaji walikuwa hawazidi hata kumi.
Kama IT technology, Medicine , Uchumi , Vita ( Silaha) , science in general , etcTeknolojia kama ipi kwa mfano?
Hebu tueleze kamanda!
Pigà kelele kwa mamaAnajua sana kidhungu maza sio kama jiwe , kama hukumsikia Uganda ulikosa uhondo sana
Kwann unalazimisha Kiswahili kitumike ?Nyumbu unafurahisha sana.
Maana wakenya wanakijua Kiswahili, lakini pia hadhira lengwa inawahusu na watanzania ambao nao wanakijua Kiswahili.
Hicho Kiingereza cha kusoma kwenye Karatasi ni kwa ajili ya nani haswa?
Shule=Kiingereza?Pelekeni watoto wenu shule, wewe najua kwa umri wako umeshachelewa.
Ingawa ukiamua unaweza.
Iga mfano wa Harmonize, kajifunzia ukubwani na anakijua jua cha kuwasiliana sasa hivi.
Umefanya utafiti au una ushahidi gani kusema eti kiingereza uchwara au kwa vile umetumia SHASHA, unamaanisha mtu mwingine? Na kama ni hivyo, kwanini tujadili mtu tusiyemjua? Na kama umeishamhukumu SSH kuna haja gani kujadili hoja hii uchwara pia?Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Rais wao pia kila akitutembelea anatumia Kiswahili..ata msiban aliongea Kiswahili vizuri Sana kuliko baadhi ya mawaziri wetuUganda akiongea Kiingereza, sawa tu manake wale jamaa wana bifu na Kiswahili!!
Kenya, kwa kuwakomoa tu, anapaswa atumie Kiswahili manake Kiswahili wanakijua vizuri lakini kutokana na ulimbukeni wao wa kumsujudia Mzungu, wanajifanya hawakijui!!
Ndugu yangu kama wewe uliogopa umande Kiingerza kika kupiga Chenga kaa kimya!!! Usitake kumlazimisha Mama Samia kutumia AKILI ZA MAGUFULI....Acha kabisa.Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Mkuu Chige , nadhani ziara ya SSH nchini Kenya haina lengo la kuongea na wakenya kama mleta mada anavyodhani. Mama ana nia na jukumu la kupata platform nzuri ya kuelezea ninsi alivyo tofati na mtangulizi wake katika nyanja za biashara, uchumi na uwekezaji. Bila shaka ziara hiyo ni platform tu ya mama kuongea na mabeberu kujaribu ku-restore sintofahamu ya miaka takribani 6 ya mtangulizi wake. Kenya ni spika nzuri kwa wanaoitwa investors aka Mabeberu as wengi wao wamepafanya kama base ya shughuli zao kwa East Africa.Uganda akiongea Kiingereza, sawa tu manake wale jamaa wana bifu na Kiswahili!!
Kenya, kwa kuwakomoa tu, anapaswa atumie Kiswahili manake Kiswahili wanakijua vizuri lakini kutokana na ulimbukeni wao wa kumsujudia Mzungu, wanajifanya hawakijui!!
Ndio maana unaitwa Jozi.We ni mpuuzi sana.
Usiandike kwa nadharia za kukariri kama kasuku!Kama IT technology, Medicine , Uchumi , Vita ( Silaha) , science in general , etc
Wapi nimelazimisha?Kwann unalazimisha Kiswahili kitumike ?
We unaonaje?Umefanya utafiti au una ushahidi gani kusema eti kiingereza uchwara au kwa vile umetumia SHASHA, unamaanisha mtu mwingine? Na kama ni hivyo, kwanini tujadili mtu tusiyemjua? Na kama umeishamhukumu SSH kuna haja gani kujadili hoja hii uchwara pia?
Huwezi kulinganisha uelewa wa Kiswahili Kenya na Uganda.Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Umejipiiinda mwenyewe unashupalia kizungu wakati hata kutamka neno "three" huwezi.English ndo Lugha yao kitaifa