Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Kwan pombe ndio hailetag magonjwaNimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili.
Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala.
Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono.
Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu awe mlevi tu.
Lakini walevi wa monde wengi wamechoka sana kiafya wengine wamepoteza marinda kisa kuzimaNimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili.
Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala.
Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono.
Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu awe mlevi tu.
Pombe ni tamu kuliko K? Wewe jamaaPombe haijawahi nifelisha Chochote , pombe ni tamu mno, wanaofagilia ngono Huwa nawashangaa sana
Inategemea , mtu na mtu Mimi nkilewa ndio Sinaga habari kabisa ,zaidi ya kuwaza kulala tuTatizo ukishalewa zinashukaga chini
Kwangu Mimi ndio starehe ya kwanza na tamu kuliko zotePombe ni tamu kuliko K? Wewe jamaa
Acha pombe kenge wewe.Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili.
Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala.
Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono.
Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu awe mlevi tu.
Sio kweliTatizo la ngono ni hitaji la akili na mwili haliepukiki yaani ni kama kifo
Vijana wanajiendeleza tu na mangono ya kijinga yasiyo na uaminifu hata kidogo , yakipata magonjwa yananywea vibaya sanaSio kweli
Nope darasa mkuuSio kweli
Exactly!! Bora kupiga beer kuliko kuonga hawa viumbe wasio na shukran na wadangaji wakubwa...Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili.
Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala.
Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono.
Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu awe mlevi tu.
Wamerogwa hao...Pombe haijawahi nifelisha Chochote , pombe ni tamu mno, wanaofagilia ngono Huwa nawashangaa sana
Sio kweli , ukiona mtu anakunywa pombe ili afuate ngono , jua ni domo zege mzinzi anaetafuta ujasiri wa kutimiza azma yakeHao wawili ni mtu na mdogo wake wanafuatana