Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

Mimi nikienda kunywa kama kiwanja hakina totoz nahama.

Mm kwangu ni tofaut.

Kinywaj kinashuka nikiwa na kampan. Ila kwenda bar na kukaa mwenyewe hainogi.
Labda kuwe na mpira na ukute wana wamebanana na mishe mingne.

Ila ni furaha sana kunywa kula na kulewa na marafiki.
Na Kama mwana akileta fame basi huyo fame aje na rafik ake na sisi tuwe marafiki 😁😁😁😁😁.

Ila siwez kwenda bar na kusalandia fame ambayo siijui.
Na wahudumu sigusi.
 
Naomba katika kulinganisha mjani usilinganishwe na upuuzi wowote
Siku izii nachukua sana moshii wa bangee sijui kwa nini.

Ukizidisha bange unakalibisha tatizo la afya ya akili ukiweza ku maintain bange ni nzuriii sanaa tatizo ni kuweza kui control
 
Ulevi pia huchochea uzinzi kwa sababu huko bar ndo kuna malaya kibao.
 
Ngono ni mbaya kama huna nguvu za kiume! Lakini kwa sisi marijali ni nzuri na tunatamba nayo! Mfano,vibinti vya 2007 chuchu sa sita na pombe unachagua nini?
Wewe si umeona jusi juziii😆 sisi tumepiga pampu mpaka tumestaafu.

Nothing new.. mpaka ukimwangalia mwanamke mfupi, mwembamba,mnene, mwenye tako, kimbau mbau, mweupee, mweusi...unajua maungo ALIYO nayoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…