[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilidanganywa vingi...
Nilikuwa napenda sana kulia lia hovyo pengine kitu kidogo nalia,niliambiwa nkilia usiku ni kuita wachawi na wataondoka na sauti yangu nitakuwa bubu. Nikaacha habari za kujiliza Liza na madeko.
Kingine kula muhindi unaambiwa njoo nikuwekee njia ya kwenda kwenu (wanatamka origin yako huko kwenu)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Et rud kavae viatu ndan nakusubir APA APA ukiingia tu ndan kutoka nje mama hayupo nalia had nacnzia apoapo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]Nadhani hii 900 ilimpendeza mama hadi kakununua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani walitulia vitu vyetu kwa kweliNilikuwa naambiwa nikutengenezee njia inayoenda kwa bibi yangu ili nije nipite wakati wa kwenda kumsalimia, hapo nafurahi kweli kweli huku muhindi analiwa tu
Yaani utoto unavituko sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani walitulia vitu vyetu kwa kweli
Na thodaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utasikia utakojoa kitandani wewe. Ukikojoa tunakutembeza mtaa mzimaYaani utoto unavituko sana.
Pia tulikuwa na utamaduni wa kugawiwa maziwa kwenye kikombe kila mmoja, sisi watoto unakuta tunadanganywa ''lete nikupunguzie hutaweza kuyamaliza na ukinywa sana utakojoa kitandani", hapo unampa mtu maziwa unabakiwa na maziwa kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na thodaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utasikia utakojoa kitandani wewe. Ukikojoa tunakutembeza mtaa mzima
Teh teh bila shaka wengi miongoni mwetu tumetengenezewa sana njia mkuu....!Nilikuwa naambiwa nikutengenezee njia inayoenda kwa bibi yangu ili nije nipite wakati wa kwenda kumsalimia, hapo nafurahi kweli kweli huku muhindi analiwa tu
Ilo swali nilikua najiulizaga sana wakati mtoto kabisa najiulizaga peke yang mtoto anatokea wapi?[emoji16][emoji16]Mama kaenda kununua mtoto na kweli jioni akarudi na mdogo wangu
Umepotea kwenye nafasi yako.Wakati wa mvua za radi na ngurumo nikivaa nguo nyekundu nitapigwa na radi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji20][emoji20][emoji20]
ni story tuUmepotea kwenye nafasi yako.
Ila ni kweli au story tu iyo radi na Nguo nyekundu
Hahaha.... Ulivojua unadanganywa ulijisikiaje mkuuCCM ni chama kitakachotukomboa kutoka kwenye shimo la umasikini🙁