Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wakuu kima Cha chini naweza anza life la geto ni kiasi gani kwa wazoefu wa mambo, kwa geto standard chumb safi chenye umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
inategemeana mkuu na eneo uliop na mji pia unao kaa Kuna maeneo Kama mbeya chumba Safi kina maji na umeme pia kwa mwezi elfu 25000 Apo ukiwa na Kama laki mbili ivi unaishi poa na maisha yanaendelea
 
Asante mkuu, but mi nipo Arusha itabidi nifanye research kidogo, maana Dah mambo ya kukosa mechi za uefa saa 4 nimeyachoka
inategemeana mkuu na eneo uliop na mji pia unao kaa Kuna maeneo Kama mbeya chumba Safi kina maji na umeme pia kwa mwezi elfu 25000 Apo ukiwa na Kama laki mbili ivi unaishi poa na maisha yanaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwakweli kuna kipind nltaka kusepa home kwa influence ya shemeji ynu....baadae nkaona ntakuja kuaibika maana dem alkuw anataka vikubwa mno....nkambwaga...!!nkaanza kuisimamia biashara yngu mpaka iliposimama stable....ndipo nkaamua kupanga sasa

Na nnaenjoy vbaya mno kila nkirud kwangu...kuna mda mpk nnasikitika kwa dharau na kejeli alizokuw ananipa shemj ynu

Dem anajua kabsaa nd kwanz nmemaliza chuo...sina kazi....na serikali nd haina habari...!!.halfu anakuuliza "Lini utakuwa na kwako p?"

Hapo ndo npojua kuwa natembea na chuma ulete moyoni...nkambwaga..na huwez amin mambo yngu...uwezo wangu wa kufikiria ulibadilika kuanzia siku ile

biashara nkaanza...ikasimama na nkaahmia geto

Maisha n kujipangA...just kwanza angalia vikwazo..kuna muda yabd utoe sadaka urafiki...undugu au mapenz ili uendelee mbele(kama vinakurudisha nyuma)View attachment 1035707View attachment 1035710

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure mkuu kuna mda inabid ku sacrifice baadh ya mambo ili kufanya vitu vya msingi..hawa madem wanatufilis sana

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Getto kuishi nilianza nikiwa na miaka 19.

Nimesoma bweni kuanzia form one mpka six,nkajiapiza chuo sikai hostel hata kwa dawa, na kwakua nilikua na lengo la kusaka life dar, nilichagua vyuo vya dar tu na nikabahatika kupata kimoja wapo,kuna ndugu yangu alikua na nyumba dar na akahamishiwa mkoani.

So akapangisha nyumba nzima na kikabaki chumba kimoja kibovu sana hakina hata sakafu ya cement, nikanunua godoro, kitanda na kapeti maza aliniagizia toka home life likaanza,kutokana na nilivyolelewa home ile familia iliyopanga ile nyumba yote pale walinipenda sana nikawa kama mwanafamilia hivi wakanipa Tv niweke geto kwangu, misosi napewa yani hakuna tofauti na home,ikafika kipindi had nkichelewa kurud naulizwa, siku niliingiza demu kiwizi kinoma na asubuhi kumtoa wakanisaidia masista watoto wa yule mama.

Nikaona hapa siwezi endelea nikahamia mabibo pale chumba 50k, na huku natafta mishe mana chuo nilikua nasoma jioni,mpaka na maliza chuo nilikua na nshapata mishe ya videography na picha so haikua ngumu sana, mpaka sasa niko fresh namhudumia maza mkoa, namsomesha mdogoangu na naishi life ninalotaka dar kama kijana

Nilihamia geto self contained baada ya kuona kipato kinaruhusu sasa nataka nichukue nyumba nzima, kipindi kigumu nimepitia sana ila sijawah kosa kula kwakua kila ninapokaa naishi vzur sana na wapangaji wenzangu na mimi napenda sana watoto hivyo kama unavyojua mwanamke yeyote ukimpenda mtoto wake anakuona wa maana sana hivyo misosi hii nakula sana,siku nisipopika wanajua tu utashangaa unaletewa tu msosi, ndomana naitwa ANKO sababu ya watoto.

Usiogope kuanza kujitegemea mana ukishindia mkate siku 3 akili inafunguka yenyewe.

Am only 23.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nmetoka kwenye pepa na mwenzngu nmempakia kwenye boda boda tunarudi zetu home babamkwe ananipigia simu jerry uko wapi nkamwambia,heb njoo swhemu flani wakati nashuka pale na mwanake anakitumbo namshusha huku namtania mzee alitoka chozi la furaha alivyokuwa anatuangalia,nikaonyeshwa gari aina ya ist,that time ndo ubber imeingia tz,akanambia hii ndo gari nliyowapa but kwa sharti la kuniletea kila siku elfu 20 then baada ya mwaka litakuwa lenu,basi nkachukua piki piki nikaifunga sehemu na kuiweka lock then nkachukue ndinga na wife mpka tumapokaa then baadae nkaifata piki piki mpka kule then nkaileta home.
Hii story sio upepo huu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom