Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

Kuna biashara moja hivi tulijaribu miezi ya mwanzoni hivi, tulitengeneza Faida ya 1mil+ ndani ya wiki tatu hivi, ila nisikufiche tulitumia ujuzi wa Ulimwengu wa roho, baadaye tukaona tutumie tu akili zetu na uzoefu maana wateja si tayari wapo, alooo.......walipungua na kuzidi kupungua, hapa tumeamua kutulia tu, tunalisoma soko halafu turudi tena kwenye ulimwengu wa roho.

N:B - Ulimwengu wa roho sio kupitia Shetani tu, hata kupitia njia za Mungu inawezekana.
Hiv unavyozungumzia principle za ulimwengu wa kiroho unamaanisha mambo ya ulokole au what do you mean?
 
Usichoke.. ....Pesa hujaga tu kuna siku flani.
Yah uko sahihi.
Niko kwenye service buzness. Siuz tangible products but service ambapo unawekeza pesaa na nguvu kaz zaid.
It is the 2nd year sasa toka nimeingia kwenye hii buznes running from -ve, angalau kwa sasa imeanza kuwa na average return kati ya 1.8m to 2.2m monthly amd the number keep on rising the more you enroll more clients.

Aisee, biashara halali hiz ni ngumu sana sio kitoto. Biashara halali ndio maana sio kila mtu anaweza
 
Yah uko sahihi.
Niko kwenye service buzness. Siuz tangible products but service ambapo unawekeza pesaa na nguvu kaz zaid.
It is the 2nd year sasa toka nimeingia kwenye hii buznes running from -ve, angalau kwa sasa imeanza kuwa na average return kati ya 1.8m to 2.2m monthly amd the number keep on rising the more you enroll more clients.

Aisee, biashara halali hiz ni ngumu sana sio kitoto. Biashara halali ndio maana sio kila mtu anaweza
Networking safi. Hata ulipo si haba. Hela nzuri
 
Softwares. Kukaa kwenye biashara toka haikupi kitu bali ni wewe ndio una inject pesa mpaka ifike hatua sio tu inakupa chochote bali iweze kuji balance kujiendesha then ianze kukupa retun baada ya kuondoa expenses sio kitoto
Kazi zote si mchezo mdogo wangu.
Una fremu, mbili, zinahitaji kodi mlima. Na mtaji wa mzigo, kila siku unaforce mzigo utoke. Kila siku unaforce upate mzigo kwa wakati.
Unafuga, mifugo muda wote inahitaji chakula.
Cha msingi ni kupambana. Ili kupata. Ww sasa hivi waza what's next to save your energy's.
Ila startup bussiness si mchezo.
 
Check wataalamu wa nyota pia wachek biashara ipi ndio itashine na nyota Yako.
Unakomaa na jembe kumbe unatakiwa ukashine kwenye daladala.
 
Huwezi fanikiwa lolote bila kufanikiwa kiroho kwanza ( positive attitude mind) hivi hivi draw back ni nyingi.
Check watu unaohusiana nao marafiki,mke,mme check ardhi ( mtaa) unayokaa.
Ardhi na mke/mme ndio ukupa laana au baraka.
Fafanua zaidi hili ikikupendeza
 
Afafanue vzur apa.Maana kama muda wako wote wa kaz umewekeza kwenye hyo biashara,afu mwsho wa cku unambie kuwa familia ictegemee kwenye hyo biashara.Hyo biashara ndyo umeifungua kwa ajili ya nini sasa?
 
Nilifungua biashara ya min hardware store,nikianza na plumbing and electric materials
Nilikaaa miezi.9 ndio nikaanza kuuza,biashara inahitaji uvumilivu, imagine miezi.9 unalipa TU Kodi kutoka mfukoni mwako sio kwenye biashara!!
Uzuri sijaifunga na sitegemei kuifunga mwaka WA pili huuu nishajijengea system ya wateja,ikiwepo taasisi mbalimbali
 
Back
Top Bottom