dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nimechoma sna pesa Hadi wakt mwingine nikikumbuka natetemeka
Kwa kifupi biashraa Tanzania haitabiriki
Kwa kifupi biashraa Tanzania haitabiriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo issue ulikua ni chuma ulete tu ungekinga pesa unazoingizaMkuu hatukimbii kwa kupenda, unalazimika kutoka nduki! We imagine mimi kuna wakati nilikua na mgahawa, asubuhi mnanunua kila kitu kwa 200,000 ikifika jioni kufunga mahesabu unakuta kila kitu kimeisha na mmepata 150,000. Hapo una vijana kama wanne wanasubiria ujira na kesho kunatakiwa hela ya sokoni kufuata mahitaji! Kwanini usivizie watu wakiondoka unakunja majiko yako unatia mfukoni na kutoka nduki kali...???😄😄
Sio wote tumeumbwa kuwa wafanyabiashara au wajasiriamali...Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikua nadhani hivyo!
Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka kapa. Mpaka muda huu nimeshajaribu zaidi ya aina 5 tofauti za biashara kuanzia bar, stationary, usafirishaji, kilimo, ufugaji nk na zote hakuna hata moja iliyofanikiwa walau hata kurudisha mtaji!
Nimebaki najiuliza nyie wenzetu mliofanikiwa kutoboa kibiashara je na nyie mwanzo mlichoma mitaji kama sisi? Hebu tupeni akili na sisi tutoboe.
NB: Usije na hoja za "fanya kazi kwa bidii".
Uliwekeza mtaji kiasi gani?Sema baadae nilikuja kutulia nikagundua kuna makosa ya kiufundi nilifanya. Tatizo unakuja kugundua hayo wakati umeshachoma mtaji na huna hela tena so inakua haisaidii sana..
Na kutoa zaka na sadaka..biashara ni vita ukiwa lelemama hakuna nyota hutoonaWatu wamezungumzia issue ya jambo la kiroho..hii kitu inawork 100% sema wengi wetu tunakuwa wavivu au tunapuuzia kusali....hii sio uwongo au utani kama ni mtu wa maombi kabla hujaanza kuuza bidhaa zishike na ombea na liombee eneo hilo utaona matokeo yake. Nasisitiza its work kabisa
Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikua nadhani hivyo!
Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka kapa. Mpaka muda huu nimeshajaribu zaidi ya aina 5 tofauti za biashara kuanzia bar, stationary, usafirishaji, kilimo, ufugaji nk na zote hakuna hata moja iliyofanikiwa walau hata kurudisha mtaji!
Nimebaki najiuliza nyie wenzetu mliofanikiwa kutoboa kibiashara je na nyie mwanzo mlichoma mitaji kama sisi? Hebu tupeni akili na sisi tutoboe.
NB: Usije na hoja za "fanya kazi kwa bidii".
Jipe angalau miaka 10 ,usirukeruke kama kitenesi unajaribu aina nyingine ya biashara kila baada ya miaka 2 hapo sahau kutoboa.komaa na biashara moja tena sio 10 hiyo min jipe hata 20 yrs.Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikua nadhani hivyo!
Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka kapa. Mpaka muda huu nimeshajaribu zaidi ya aina 5 tofauti za biashara kuanzia bar, stationary, usafirishaji, kilimo, ufugaji nk na zote hakuna hata moja iliyofanikiwa walau hata kurudisha mtaji!
Nimebaki najiuliza nyie wenzetu mliofanikiwa kutoboa kibiashara je na nyie mwanzo mlichoma mitaji kama sisi? Hebu tupeni akili na sisi tutoboe.
NB: Usije na hoja za "fanya kazi kwa bidii".
Ulikosea wapi kwenye madini mkuu ukachoma hiyo 80m?Acha kabisa mkuu. Nimechoma milioni 80 kwenye dhahabu. Imeniacha mbendembende. Daah...! Bahati mbaya napoteza hela na umri ndio umeenda 40+.
Nimegundua ndio maana wakinga wakishika biashara moja ya duka ni hiyo hiyo hawabadiriki.
Hivi najitafuta kwa upya. Duka nililipukutisha kuingiza kwenye dhahabu. Hivi ndio napambania kulirudishia. Bidhaa sina japo biashara ipo. Hapa ili nirudi sawa natakiwa angalau milioni 40 kwa uchache 20 mpya niitupie humo.
Ila unajua nini? Lazima niyarudie madini yanipe hela.
Unatoboa ht ukiwa na Mungu tuHivi biashara ya dhahabi bila kufanya featiring ya tawire kutoboa ni hamna?
Kuendekeza shirki ni aina nyingine ya upungufu wa maarifa na ni zao kubwa la umaskini.Unatoboa ht ukiwa na Mungu tu
Kikubwa upate mawe mazuri sanaa,usagaj mzuri,usimamiz mzuri na mwisho mkemia anaejua nn anafanya
Utakua na tawire hlf mawe yanasoma ppm1 itasaidia nn
Usikate tamaa, weka imani kwa Mungu usibadili badili biashara, na komaa hapo hapo ulipoamua kushikiliaMtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikua nadhani hivyo!
Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka kapa. Mpaka muda huu nimeshajaribu zaidi ya aina 5 tofauti za biashara kuanzia bar, stationary, usafirishaji, kilimo, ufugaji nk na zote hakuna hata moja iliyofanikiwa walau hata kurudisha mtaji!
Nimebaki najiuliza nyie wenzetu mliofanikiwa kutoboa kibiashara je na nyie mwanzo mlichoma mitaji kama sisi? Hebu tupeni akili na sisi tutoboe.
NB: Usije na hoja za "fanya kazi kwa bidii".
Tunaomba ushauri kwenye broker apo.
boss miti inadondoshwa zinachanwa mbao undersize... yan si za kuuza ni kwa ajiri ya kutengeneza mizinga ya nyuki. mwisho wa siku sikufikia malengo na pesa nimeshachomaKwamba magogo hua unayaona au hukujua pakuuza ??
nakumbuka niliweka hapa bandiko la mashine gani nzuri ya kuchana mbao wadau wakashauri nichukue husqvana... acha kbs kazi yoyote ya kuambiwa usiende kichwa kichwa kama hujawahi kuifanya ndio kilichonitokea mimKwamba magogo hua unayaona au hukujua pakuuza ??
Acha kabisa mkuu. Nimechoma milioni 80 kwenye dhahabu. Imeniacha mbendembende. Daah...! Bahati mbaya napoteza hela na umri ndio umeenda 40+.
Nimegundua ndio maana wakinga wakishika biashara moja ya duka ni hiyo hiyo hawabadiriki.
Hivi najitafuta kwa upya. Duka nililipukutisha kuingiza kwenye dhahabu. Hivi ndio napambania kulirudishia. Bidhaa sina japo biashara ipo. Hapa ili nirudi sawa natakiwa angalau milioni 40 kwa uchache 20 mpya niitupie humo.
Ila unajua nini? Lazima niyarudie madini yanipe hela.
Mafanikio siyo masihara kuna mambo mazito sana, kuna watu wapo tu furaha yao ni kuona umeshindwa yeye hata akikushindwa anaenda kuomba msaada kwa mchawi mwenzake yaani watu wanakukalia kikao kabisa cha kukaanga, Hapo ndiyo huna Mungu kisawasa ndiyo kwisha habari yako.
Hilo mimi ndio sinaga hizo mambo mkuu. Mtu ana mtaji wake kwa nini umnyime mbinu za biashara unazozijua?. Na huwezi jua unaempa mbinu hizo baadae atamsaidia nani mwenye vinasaba na wewe,hata wewe mwenyewe pia
Oooh ndio maaanaNyie Nyie binaadamu?[emoji119]
Yupo nilimfundisha kila kitu na amekua my no one Enemy!
Yeye ndo amekua anapambana na mimi kupitia migongo ya watu wengine,
Ndo maana matajiri hawataki ukaribu na maskini..
Usipige hata kabia kweli?Kuwa na nidhamu ya Pesa.