TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
- Thread starter
- #201
Yaani.. mimi kuna kijana nilimuachia biashara hapo nimeshamfundisha kila kitu. Baadae nashangaa mambo yanaenda mrama, kumbe yeye vitu anavyowaeleza wateja ni tofauti kabisa na jinsi mimi nilivyomuelekeza 😐Kwa Hii Tanzania sidhani kma yupo.