Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

H Hapo issue ulikua ni chuma ulete tu ungekinga pesa unazoingiza
 
Sio wote tumeumbwa kuwa wafanyabiashara au wajasiriamali...
 
Na kutoa zaka na sadaka..biashara ni vita ukiwa lelemama hakuna nyota hutoona
 

Jipe angalau miaka 10 ,usirukeruke kama kitenesi unajaribu aina nyingine ya biashara kila baada ya miaka 2 hapo sahau kutoboa.komaa na biashara moja tena sio 10 hiyo min jipe hata 20 yrs.
 
Ulikosea wapi kwenye madini mkuu ukachoma hiyo 80m?
 
Unatoboa ht ukiwa na Mungu tu
Kikubwa upate mawe mazuri sanaa,usagaj mzuri,usimamiz mzuri na mwisho mkemia anaejua nn anafanya

Utakua na tawire hlf mawe yanasoma ppm1 itasaidia nn
Kuendekeza shirki ni aina nyingine ya upungufu wa maarifa na ni zao kubwa la umaskini.

Wazungu hawatumii waganga kutafuta madini bali teknolojia.

Sasa wabongo watachinjishwa mbuzi, kondoo kuku na uongo wa kila aina mwisho wa siku anapoteza chote alichowekeza kwa njia zisizo sahihi.

Mtu unataka kuwekeza kwenye madini, jipe muda jifunze kwa wataalam na tumia mbinu za kitaaluma kutafuta madini sio kwa hearsay za waganga😂.

Inasikitisha kwakweli.
 
Usikate tamaa, weka imani kwa Mungu usibadili badili biashara, na komaa hapo hapo ulipoamua kushikilia

Sooner or later, utaona faida.
 
Tunaomba ushauri kwenye broker apo.

Mosi, inabidi uwe na leseni ya brokerage, leseni yake bei ndogo tu kukata.

Pili, inabidi uwe na mtaji wa kuanzia biashara. Broker huhitaji hela nyingi kuanza ila cha msingi zaidi ni uwe na maarifa usije uziwa fool's gold.

Brokers wengi huwa wanaingia chaka kusaka mali au wanadhamini watu wenye maduara kwa sharti la mwenye duara akipata akuuzie wewe. Kudhamini is extremely risky sishauri mtu afanye hivyo, cha msingi aingie chaka kusaka mali na ajue jinsi ya kuvutia wateja kama biashara zingine zote. Ukisubiri kuletewa ofisini utasubiri sana labda bei yako iwe above the markets' price.
 

Nina ndugu yangu analipa madeni (uzuri ni mfanyakazi wa serikali) sababu ya Hii biashara ya madini

Bahati mbaya yeye aliingizia na ushirikina, mganga akalamba hela na shimo likalamba pesa

Siyo mchezo..

Pole sana utainuka tu pambana.
 

Nilikua nakataa Hii kitu mpaka pale iliponikuta

Yaani mtu haujawahi kugombana nae hata kidogo ila anakusagia kunguni kila kona
 
Hilo mimi ndio sinaga hizo mambo mkuu. Mtu ana mtaji wake kwa nini umnyime mbinu za biashara unazozijua?. Na huwezi jua unaempa mbinu hizo baadae atamsaidia nani mwenye vinasaba na wewe,hata wewe mwenyewe pia

Nyie Nyie binaadamu?[emoji119]

Yupo nilimfundisha kila kitu na amekua my no one Enemy!

Yeye ndo amekua anapambana na mimi kupitia migongo ya watu wengine,
Ndo maana matajiri hawataki ukaribu na maskini..
 
Nimechoma hela kwenye biashara

1.Mtumba
2.pembe Za ng’ombe
3.Kilimo
4.forex
5.Chakula
6.Samaki&Kuku


Mpaka nimekuja kusettle kwenye cosmetics na hapa nimesettle in a very hard way.. Yaani nilichojifunza
Kwenye biashara kuna muda inabidi ujitahidi kuforce sana mambo na kusimamia biashara mwenyewe

Usiachie mtu biashara yako.
Usiweke mtaji wote kabla haujausoma mchezo.
Kubali kuwa mjinga jifunze kwa watangulizi.
Kuwa na nidhamu ya Pesa.

Kupitia haya angalau biashara inaweza kusimama na kukua.
 
Nyie Nyie binaadamu?[emoji119]

Yupo nilimfundisha kila kitu na amekua my no one Enemy!

Yeye ndo amekua anapambana na mimi kupitia migongo ya watu wengine,
Ndo maana matajiri hawataki ukaribu na maskini..
Oooh ndio maaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…