Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hii issue inaweza kukuuguza presha usipokuwa bandidu, umetoa 200K kila kitu kimeisha ila mauzo ni 150K, hapo umezamisha 50K na bado una wafanyakazi wamekusimamia uwape chao. Kesho utaanza biashara kwa manunuzi ya 120K (baada ya kulipa wafanyakazi) ama utaongezea 80K ili ufanye manunuzi ya 200K kama kawaida.? Vipi hiyo hali ikiiendelea kwa mwezi mzima.?[emoji1]Mkuu hatukimbii kwa kupenda, unalazimika kutoka nduki! We imagine mimi kuna wakati nilikua na mgahawa, asubuhi mnanunua kila kitu kwa 200,000 ikifika jioni kufunga mahesabu unakuta kila kitu kimeisha na mmepata 150,000. Hapo una vijana kama wanne wanasubiria ujira na kesho kunatakiwa hela ya sokoni kufuata mahitaji! Kwanini usivizie watu wakiondoka unakunja majiko yako unatia mfukoni na kutoka nduki kali...???[emoji1][emoji1]
Kichwa lazima kiwake moto.
Makosa makubwa ya hii issue ni kuuza bei za kisadakasadaka ili kufurahisha wateja, kuruhusu wafanyakazi ndio wawe wanaojua oder ngapi zimetoka na zimeenda wapi halafu wewe usubiri tu kuletewa hela mezani (watauza oder 10 utaletewa pesa ya oder 7 kisha baadae watakudai ujira wao tena).
Sent using Jamii Forums mobile app