Ulichukua hatua gani baada ya kugundua umebambikwa mimba/ mtoto?

Hahahahahah mie lazma nipime DNA siwezi kulea kibwege...Hawa wanawake wahuni sana sikuhizi.
Umesema kweli. Hata mimi ndiyo maana nilisisitiza. Unajua kisa changu kilikuwa ni ile mikasa ya wewe unapitia hapo leo na mwenzako anapitia hapo wiki hiyo hiyo au wiki ijayo. Mimba ikitunga manzi anakuwa hajui mwenyewe ni nani hivyo anachagua kumsakizia yule mwenye afadhali kiuchumi na huruma.

Hata nilipompokea nilikuwa na mashaka ila nikasema subiri ajifungue ndiyo nitapima. BTW Niliokuja kuzaa baadae sikuwa na wasiwasi hata kidogo kwani kila aliyewaona mama alipotoka hospital alisema wamefanana na mimi copy.
 
Hahahahahah mie lazma nipime DNA siwezi kulea kibwege...Hawa wanawake wahuni sana sikuhizi.
Inasemekana wanaotoa majibu ya DNA ni ustawi wa jamii,je ni kweli?
 
Mimi nilitulia...nikatuma elfu 15,mpaka niliposkia ameenda hospitali..nikajipeleka kisirisiri..nikamkuta mwanaume mwenzangu amenitangulia..nukajua ndiye Muhusika..maana mtoto alitoka wa kipemba wakati Mimi mwenyewe gunia la mkaa..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi kweri kweri in magu voice.
 
Usid
Usidanganyike na maneno ya akina Mama ya umefanana naye.
 
[emoji38][emoji38][emoji1487] "mimba inatishia kutoka" nimecheka
 
Hata mie naona kila mtu anatoa maoni kuwa mama hajapata kitu kwa mtoto ila wananiona mimi tu zaidi hata rangi ni yangu.
 
Duh hii kiboko mno, na hio timming ndio inanipaga wasiwasi maana kuna uwezekano mwanamke akabebeshwa mimba na muhuni after 1 week ya kugundua akakuletea wewe upige. Ukiingia kingi tu ujue kakubebesha zigo.
 
Duh hii kiboko mno, na hio timming ndio inanipaga wasiwasi maana kuna uwezekano mwanamke akabebeshwa mimba na muhuni after 1 week ya kugundua akakuletea wewe upige. Ukiingia kingi tu ujue kakubebesha zigo.
Mimba nyingi huwa ni feki lakini bila kujali uhalisi ama ufeki wake wahudumiaji huwa zaidi ya mmoja kwenye kila gharama
 
ila nimewahi kuhudumia mimba hewa! Nilikuwa nampenda sana naye alikuwa anajua nampenda, siku ya siku akaniambia hazioni siku zake, tulipoenda kupima ikaonekana kweli ana mimba.

Siku hiyo nilikuwa na furaha isiyo kifani, kuanzia hapo nikaanza kumhudumia kama mke wangu. Mara kinatakiwa hiki, mara kile, nikaja kushtuka baada ya miezi mitatu na nusu[emoji1787][emoji1541][emoji1541][emoji1541]


Mkojo wa mjamzito: Biashara nyingine ya siri isiyojulikana na wengi
 
Hatua inayochukuliwa ni moja tu, anashika njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…