Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

Nidhamu ni muhimu sana, binafsi nadanya huu utaratibu kuna siku nilienda bank kuomba bank statement nikakutana na million kadhaa kama interest!

Nasisistiza nidhamu kufikia lengo lako ni muhimu sana
I agree
Afu pia kuachana na hizi simu banking kwa hela zetu za kuunga unga
 

Mkuu umenipa mwangaza na mori kubwa sana!!
 

Nawazaga nikope ninunulie gar nagairi nawaza gari kutembelea itarudishaje ela
 
Nielekeze hichi kitu mkuu unafungua ya savings kwenye bank yeyote tu? Na kiwango cha chini cha kuweka pesa ni kiasi gani?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu uko USA?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mumkate kodi??? As who?[emoji848]
 
USA unaishi province gani? Hiyo $ 5000 ni baada ya makato ya kodi
 
USA unaishi province gani? Hiyo $ 5000 ni baada ya makato ya kodi
Usa naishi San Diego california. Hio $5000 ilikuwa enzi hizo. Sasa hivi mshahara ni $15000 au zaidi kwa mwezi. Ni kazi ya travel rn. Mfano wake ni lini hii hapa chini: Au google, apply for travel RN san diego, california.. hii hapa inalipa $3360 kwa wiki. Taxes toa 10% hivi.
 
Ok mkuu hongera sana[emoji122]
 
Ndio mkuu. Ila nilikuwa Tz kwa miaka miwilu na zaidi hivi kushughulikia projecta huko. Ila kwa sasa biz environment in Tz sio nzuri, kwa hivyo nimerudi huku ughaibuni tena.
Ubalozini si nasikia wanazingua sana, mfano kama wewe uliyerudi na kukaa hapa two years, au kwako imekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…