Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwizukulu mgikuru hujambo?Hii nchi watu wajinga bado wengi sana. Tatizo sio katiba wala ccm ila watu wajinga bado wengi. Mleta uzi na ndevu zake anaamini ujinga kama huu tena anashare kabisa. Smh
Kuamini uchawi ni ugonjwa wa akili.
Kuna Jamaa aliyenisomea Mimi yupo hapa DarKuwapata wale konki haswa ni kimbembe
Mchawi ndugu rafiki yangu, na nilikuwa siamini hizi mambo kwa sababu sifuatilii sana lakini anayekudhuru ni mtu wako wa karibu. Imagine unakuta ndugu yako wa damu anakufanyia hayo mambo utafikia kweli Kilele cha mafanikio? 😂 😂 😂Mpaka anachukua nguo yako unayoipenda na kuirudisha, wewe unakuwa wapi??
Km unahisi hivyo kunywa mkojo wako wa asubuhi ila usiwe wa pombe.
Manyanza nani akuloge wewe? 😂😂😂Mchawi ndugu rafiki yangu, na nilikuwa siamini hizi mambo kwa sababu sifuatilii sana lakini anayekudhuru ni mtu wako wa karibu. Imagine unakuta ndugu yako wa damu anakufanyia hayo mambo utafikia kweli Kilele cha mafanikio? 😂 😂 😂
Mkuu katika pita pita yako umehai kutana na mafundi wa ukweli? Maana wengi hapa mjini matapeli sana, eti fundi anavaa cheni na ana account insta!
Daaah 🤣🤣🤣🤣Hakuna uchawi!
Wengi mnaoamini uchawi ni wagonjwa wa akili tu.
Was***nge tu fulani halafu Kidume nikatoka Mwanangu 😁😁😁Manyanza nani akuloge wewe? 😂😂😂
Kuna kapumbavu fulani kanaitwa Kiranga kamerogwa ili kakane uchawi haupo wamekaaminisha hivyo ili waendelee kukaroga huku kakiendelea kuamini uchawi haupo.Sasa hivi wanataka kukala nyama kabisaHuwa namshangaa sana mtu anaesema uchawi haupo😀😀😀 Nina imani yanakuwa hayajamkuta.
Waamini uchawi utawajua tu. 1. Kwao mganga kiboko ni yule anayevaa matambala na kukaa kwenye vijumba vya udongo au nyasi tena porini kabisa. 2. Kuna kipindi nilitembelea Kenya, nikakuta wanaamini waganga wakali wako Tanzania na washirikina wengi walikuwa wanavuka mpaka kuja kwa waganga wa Tanzania. Ukienda kwa upande wa Tanzania nako, watu wengi wanaamini waganga wakali wako Kenya, na watu wengi hupoteza fedha kwenda Kenya kufuata waganga. Sijui kwa nini hizi dhana zipo sana i.e mganga mzuri ni yule mwenye maisha ya kifukara, bibi mzee au babu mzee, anaishi sehemu za porini na yuko mbali na pale mteja anapokaa. NB: hakuna uchawi na nishaomba sana kama kuna mtu mwenye nyumba yenye majini au mizimi awasiliane na mimi niende nikalale huko. Au sehemu yoyote ya kukatisha yenye majini.Mkuu katika pita pita yako umehai kutana na mafundi wa ukweli? Maana wengi hapa mjini matapeli sana, eti fundi anavaa cheni na ana account insta!
Unaweza kuniloga mimi kwa kutumia huo uchawi? Kama jibu ni ndiyo tupange.Sio mavi mkuu, ni ushirikina unaitwa nyaamazi, yaani athari yake ni kama mtu aliepakwa mavi,
Omba sana yasikukute Mkuu.Waamini uchawi utawajua tu. 1. Kwao mganga kiboko ni yule anayevaa matambala na kukaa kwenye vijumba vya udongo au nyasi tena porini kabisa. 2. Kuna kipindi nilitembelea Kenya, nikakuta wanaamini waganga wakali wako Tanzania na washirikina wengi walikuwa wanavuka mpaka kuja kwa waganga wa Tanzania. Ukienda kwa upande wa Tanzania nako, watu wengi wanaamini waganga wakali wako Kenya, na watu wengi hupoteza fedha kwenda Kenya kufuata waganga. Sijui kwa nini hizi dhana zipo sana i.e mganga mzuri ni yule mwenye maisha ya kifukara, bibi mzee au babu mzee, anaishi sehemu za porini na yuko mbali na pale mteja anapokaa. NB: hakuna uchawi na nishaomba sana kama kuna mtu mwenye nyumba yenye majini au mizimi awasiliane na mimi niende nikalale huko. Au sehemu yoyote ya kukatisha yenye majini.
Sasa kwanini unaomba matatizo Mkuu?Unaweza kuniloga mimi kwa kutumia huo uchawi? Kama jibu ni ndiyo tupange.
Mimi huwa naomba yanikute lakini cha ajabu hayanikuti. Unajua nyumba yenye majini au mashetani na imeshindikana watu kukaa humo? Kama unaijua niambie nikalale humo.Omba sana yasikukute Mkuu.
Mwizukulu mgikuru hujambo?
Mimi sijui kumroga mtu mkuu, wapo wajuzi wa hayo mamboUnaweza kuniloga mimi kwa kutumia huo uchawi? Kama jibu ni ndiyo tupange.
Mkuu siombi matatizo wala shida ila nina uhakika shida au matatizo haviletwi na uchawi.😂 😂 😂
Sasa kwanini unaomba matatizo Mkuu?
Shida na matatizo hayaombwi
Hakuna kitu kama hicho, ibada kwa sana na mambo yote tambarare, ushindwe mwenyewe kwa uvivu.Mwanzoni wakati nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa siamini kabisa haya mambo lakini kadiri nilivyokuwa nakuwa ndio nikaanza kufahamu kuwa kweli uchawi upo, Na mtu akiamua kukuharibia au kukuchafua ndio imeisha hiyoo..uliishawahi kukutana Na mtu ambae Kila janga lazima yumo tena kwa babati mbaya..Basi kuna ushirikina mmoja upo huko Kagera wanautumia sana wahaya , kwa kirugha unaitwa "nyaamazi" yaani mpakwa mavi au kitu chochote chenye harufu mbaya, uchawi huu mshirikina au mchawi anaetaka kukuharibia uwe ni mtu wa mikosi mwanzo mwisho, Huwa anategeshea Na kukuibia Ile nguo unayoipenda sana kuivaa unaweza kuwa ni tisheti au suruali,..ataipeleka kwa mganga Na kuipaka huo uchawi unaoitwa "nyaamazi" Na baada ya hapo uirudisha kwa kificho Bila ya wewe kufahamu au kujuwa.. mchezo unaanza pale siku utakapoivaa au kuichanganya Na nguo nyingine kama sio mtu wa ibada sana lazima utaanza kuona rangi zote .kama ni mtumishi wa ofisi flani Basi utaanza kuona mabadiriko wafanyakazi wenzako wataanza kuku kataa, bosi wako anakuona kama kero tu, jamii inayokuzunguka imani yao kwako inapungua, ikitokea tatizo Basi wanaanza Na wewe, unakuwa huaminiki Na wala hupendeki Na yeyote, Kila unachokifanya kinaonekana ni hovyo tu, hata ufanye jambo zuri vipi...haya nimeyafahamu baada ya kutembea, elewa Neno KUTEMBEA..uchawi upo hasa huku Africa (shit hole countries) tujikinge kama ni mtu wa ibada Basi sali sana, kama ni mtu wa ndumba Basi oga sana....
Hivi nyani upo jamani? Za miaka nduguHakuna uchawi!
Wengi mnaoamini uchawi ni wagonjwa wa akili tu.