Huwa namshangaa sana mtu anaesema uchawi haupoπππ Nina imani yanakuwa
AiseeMkuu huwezi amini yameshanikuta sana haya majanga tena kwa kusomewa dua tu. Mtu unatapika nywele na viini vya njano kama mayai, kubwa kuliko 1 month ago tena ilikuw6ni kama incident tu Boxer yangu imebanwa kufuri na t-shirt yangu kama miaka 10 iliyopita ilifukuliwa. Imagine π
Ooh! KumbePole sana, fanya hivyo nilivyokwambia. Mkojo unatoa uchawi wote.
Ulikua unaishi sehemu ya kuitwa maputo bilashakaUswahilin kuna mambo sana mkuu. Mm niliwh kukaa mazibgira flan hiv wamakonde kibao. Nilisaga meno, hali si hali. Hupati hata mia wiki nzima. Ilifika kipindi natoka pale kwenda Kunduchi Mtongan nd napigiwa na kupata sim za hela. Ilifika kipindi unapogiwa sim ya hela ukiwa kunduchi ukirud home tu ile dili lazim ipinde π
[emoji23][emoji23][emoji23] anashangaa hilo la instagram ..bado sana huyo kijana, sisi wengine tushashika na kutembea na JOKA kabisa kwenye begi kumbe tapeli tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aigle
Ukiwa na nafasi utupe mkasa tucheeeke, make uliyoyapitia ni mengi π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23] anashangaa hilo la instagram ..bado sana huyo kijana, sisi wengine tushashika na kutembea na JOKA kabisa kwenye begi kumbe tapeli tu.
Mimi huwa naomba yanikute lakini cha ajabu hayanikuti. Unajua nyumba yenye majini au mashetani na imeshindikana watu kukaa humo? Kama unaijua niambie nikalale humo.
Kabisa mkuu....Huwa namshangaa sana mtu anaesema uchawi haupoπππ Nina imani yanakuwa hayajamkuta.
Utatuweza kwa unafiki?Huwa namshangaa sana mtu anaesema uchawi haupoπππ Nina imani yanakuwa hayajamkuta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aigle
Cc. KirangaHuwa namshangaa sana mtu anaesema uchawi haupoπππ Nina imani yanakuwa hayajamkuta.
Mwanzoni wakati nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa siamini kabisa haya mambo lakini kadiri nilivyokuwa nakuwa ndio nikaanza kufahamu kuwa kweli uchawi upo, Na mtu akiamua kukuharibia au kukuchafua ndio imeisha hiyoo..uliishawahi kukutana Na mtu ambae Kila janga lazima yumo tena kwa babati mbaya..Basi kuna ushirikina mmoja upo huko Kagera wanautumia sana wahaya , kwa kirugha unaitwa "nyaamazi" yaani mpakwa mavi au kitu chochote chenye harufu mbaya, uchawi huu mshirikina au mchawi anaetaka kukuharibia uwe ni mtu wa mikosi mwanzo mwisho, Huwa anategeshea Na kukuibia Ile nguo unayoipenda sana kuivaa unaweza kuwa ni tisheti au suruali,..ataipeleka kwa mganga Na kuipaka huo uchawi unaoitwa "nyaamazi" Na baada ya hapo uirudisha kwa kificho Bila ya wewe kufahamu au kujuwa.. mchezo unaanza pale siku utakapoivaa au kuichanganya Na nguo nyingine kama sio mtu wa ibada sana lazima utaanza kuona rangi zote .kama ni mtumishi wa ofisi flani Basi utaanza kuona mabadiriko wafanyakazi wenzako wataanza kuku kataa, bosi wako anakuona kama kero tu, jamii inayokuzunguka imani yao kwako inapungua, ikitokea tatizo Basi wanaanza Na wewe, unakuwa huaminiki Na wala hupendeki Na yeyote, Kila unachokifanya kinaonekana ni hovyo tu, hata ufanye jambo zuri vipi...haya nimeyafahamu baada ya kutembea, elewa Neno KUTEMBEA..uchawi upo hasa huku Africa (shit hole countries) tujikinge kama ni mtu wa ibada Basi sali sana, kama ni mtu wa ndumba Basi oga sana....
Hivi kuna watu hawalogeki?Sio mavi mkuu, ni ushirikina unaitwa nyaamazi, yaani athari yake ni kama mtu aliepakwa mavi,
Ndiyo. Mimi hapa sirogeki!Hivi kuna watu hawalogeki?
Huyo ulie mtag nadhani alifanikiwa kupata connection maana zile nyuzi zake za kutafuta fundi haandiki kwa sasa. Saizi ana andika nyuzi za kutaka ushauri wa madili ya mamilioni ya pesa. Hatari sana
Kwa kauli zako tu unaonekana hapo ulipo wachawi walishakumaliza!Ndiyo. Mimi hapa sirogeki!
Tangu nilipokutana na mmoja ya vigogo wakubwa wa serikali nchi jirani ambaye sikuwahi kumwona live zaidi ya kwenye tvHuwa namshangaa sana mtu anaesema uchawi haupoπππ Nina imani yanakuwa hayajamkuta.
Unahakikishaje huu ni uchawi na si kitu kingine tofauti tu?Huwa namshangaa sana mtu anaesema uchawi haupoπππ Nina imani yanakuwa hayajamkuta.
We acha tu. Ila ndio hivyo nimeamua kumsujudia mwenye mali na fahari za ulimwengu ili anipe access.. haya mengine ni katika changamoto tu..vibweka na mikasa ya kila aina.Ukiwa na nafasi utupe mkasa tucheeeke, make uliyoyapitia ni mengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]