Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

Ilikua inaniuma maza na bibi wanavyoumia.
Ukiwa unapitia magumu kina mama huwa wanaumia sana, ndio maana mimi nlishaachaga kumwambia maza magumu yangu labda nione hili analiweza.

Tuwatunze wazee wetu, kuna umri wakifika hizi taarifa zetu mbofu mbofu tuzihide.
 
itakua mtoto wa kishua wewe sio kwa ubaya lakin , vipato vya tiamaji tiamaji hua mshahara haukutani na mwezi mwingine ukilipwa mshahara leo rumba linaanza next week una survive week mbili nyingine ukisubir mshahara kinachokuokoa ni hicho kibarua unakua unakopesheka kitaa na ndio utumwa unapoanzia ukishika tu fungu linaishia kwa wadeni ili ukope tena
 
Mshahara wa 300k 400k hata ukilipwa kwa miaka 10 ukija kusimamishwa mwaka tuu ni vilio na kusaga meno
Hii ni kwasabb mshahara huo ni ngumu mtu kuweka akiba hasa kama ana watu wanao mtegemea
Kweli ndugu hapo nimeelewa..so means hata ukilipwa million kumi,nayo itakua ngumu kutunza
Natokea maisha magumu mkuu,ukitokea Uzi wa kushindana shida nitag nichangie,, sijawahi kuajiriwa ndio maana nimeuliza..
 
10mil hapo sasa una kuwa umeshaingia uchumi wa daraja la kati chini πŸ˜„
Wenye mishahara hiyo ndio unasikia kafanya kazi 8yrs baada ya hapo ana kwambia kaacha kazi inamchosha ana taka sasa afanye mambo yake
 
Hah sikumaliza kuandika Nika press enter,nilitaka Kusema anaelipwa milion kumi,nyumba anapanga suburban neighborhood,watoto shule za gharama,gari Cc2000,nae kwake milion kumi sio kitu
 
Hah sikumaliza kuandika Nika press enter,nilitaka Kusema anaelipwa milion kumi,nyumba anapanga suburban neighborhood,watoto shule za gharama,gari Cc2000,nae kwake milion kumi sio kitu
Muajiriwa anaye pokea 10mil kwa mwezi huyu unakuta analipiwa nyumba mafuta ya gari etc
Kibongobongo kwenye mshahara wake ana uwezo wa kuweka akiba kiasi cha kutosha tu kwa mwezi
 
Muajiriwa anaye pokea 10mil kwa mwezi huyu unakuta analipiwa nyumba mafuta ya gari etc
Kibongobongo kwenye mshahara wake ana uwezo wa kuweka akiba kiasi cha kutosha tu kwa mwezi
Maisha haya, mwenye mshaara mkubwa ndio analipiwa nyumba na gari,mwalimu analipwa laki 6 Kila kitu analipia,anakatwa Kodi,watunga sera mshaara mlima hakatwi hata Senti,.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]usijali ndugu apo una andaliwa. Ila hata hvyo ww una nafuu kubwa sana.. Ndugu yangu mm nilipitia hiyo hali huku Nina familia ya wake wawili na watoto wanne.. Hali ya kuwa watoto wawili tiyar wanaenda shule. Nilipitia hyo hali kwa kipindi cha miezi 8 ila mwisho wa siku nimetoboa kaka. Sasa hv nikikumbuka nacheka tu alafu najiambia mwenyewe mimi ni mwanaume[emoji23][emoji23].. Alafu sasa ilikuwa nikipindi kile cha corona [emoji23][emoji23]. . Hvyo usife moyo kabisa bali kazaa fuvu kisha pambana utapata tu namna
 
Uza simu hio unayoingia mayo jamii forum alafu nunua unga na michele weka ndani na gas jaza kabisa utakuja kunishukuru badae alafu ingia mtaani au njoo hulu town pita kila ofisi omba kaz kila siku ndani ya wiki utakua ushapata
 
Hilo ni funzo ulipewa,usiache kazi kirahisi.
 
Uza simu hio unayoingia mayo jamii forum alafu nunua unga na michele weka ndani na gas jaza kabisa utakuja kunishukuru badae alafu ingia mtaani au njoo hulu town pita kila ofisi omba kaz kila siku ndani ya wiki utakua ushapata
Kama angeuza mwanzo, huu ushauri ungeutoa wapi? Anahitaji ushauri zaidi ya huu kwahiyo simu ni muhimu abaki nayo
 
Hatari sana hii hali. Nilichapika huku familia zinanitegemea. Ndugu michango watoto ada yani kama gwaride ukiambiwa nyuma geuka ni geuka mbele tembea ni tembea hakujulikani mbele wapi nyuma wapi...
Mzee wangu alinipiga tafu sana kipindi hiko plus mama watoto na bro. Sadly mzee akafariki mwezi kabla sijapata kazi.... Achana na hii hali. Yani ni kizungumkuti balaaa....

Ila piga moyo konde utatoboa tu tobo la aina yeyote.
 
Pole sana
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…