Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

Safi Engineer.
 
Mimi nina miaka 37 sasa sina kibanda hata cha nyasi huko kijijini wala kiwanja nimeanza kupanga nikiwa form 1 hadi sasa napanga tu sina muda wa kujenga nikifa msiba wangu utafanyikia msikitini tu acha nile bata
 
Miaka 40 Na bado sijamaliza vizuri hatari kabisa
 
Mm siogop matusi, kama kuitwa senge, sjui matrakol, sijui k, mara sjui kuliwa aaah em tulia Babu, njoo tuzichape uwe mvumilivu nna maneno ambayo kama huna moyo wa subra utalia
Skia tutafute siku tuzichape live nipo tayari kuitisha live match mkuu na vishu mtata atakua kama refa mkuu..

Ili anapopigwa mtu mashadi wawepo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…