Ulijifunza kuendesha gari ukiwa na umri gani?

Nikiwa na 24 nilikuwa naendesha, lakini mwanangu ana miaka 12 yuko kidato cha kwanza anaendesha vizuri tu anatupeleka kanisani na kurudi pia shuleni kwa wadogo zake, ila umri wa leseni bado hivyo mjini haendi
Hongera sana kwa kumfundisha kijana. Kuna watoto nawaona wana miaka 14 lakini tayari ni madreva wazuri.
 
Acha dharau na lori lenu nalidondosha maksudi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ngoja nimalize kunywa chai ya maziwq nzito (ambayo umeanza kunywa juzi juzi) alafu nimuoneshe Dad comment yako.

😂😂😂
 
Duh pole mkuu Mnyenz ntakuja na mimi unifundishe
 
Hii kisheria imeakaaje mkuu? Hatuombei mabaya ila kwa nia njema je akipata ajali akiwa anaendesha utaziambiaje Mamlaka?

Mi dogo simruhusu kabisa kuendesha japo anang'ang'ania na ana miaka 13 yupo form 2 sasa.
Kisheria ni kosa ila tu tunajitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…