Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

Pole Sana kiongozi ......
 
Hapa tunazungumzia EX mwanamke au hata wanaume?nijuavyo mimi awe wa kike au wa kiume wote ni sawa tu,kumbuka tabia huwa haina dawa,ingawa one in a million anaweza kuwa kajifunza kitu baada ya kuachana,ila karibu wote huwa wanabakia kuwa vile walivyo,muhimu ni kumtanguliza Mungu kabla ya kutafuta wenza wetu,ila kwa kukurupuka tu kwa kuangalia pesa,umbo au sura lazima utapigwa na kitu kizito...
 
Mwanamke yeyote wa kisasa (namaanisha mwanamke anaeshindana na dunia) ana tamaa tena tamaa mbaya. Na siku zote tamaa mbaya huzaa Ubinafsi

Ubinafsi ni kujijali mwenyewe na kutokujali hisia za wengine, Mtu asiejali hisia za mwingine ni adui... Wengi tunaingia kwenye mahusiano na maadui na kujikuta tunawapa nafasi katika mioyo, akili na hata mwili, tufanyapo hivyo

Kwisha Habari.
 
Absolutely,ceteris Paribas
 
Lessons I got:

Trust your instincts. If your heart signals NOPE about someone just run hata kama huja pinpoint shida ni nini hasa.

I'm a better judge of character.

Consistency. If they are not consistent they're not genuine. Run.

Completely true..Run
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…