Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Mkuu kwa nini hukutarajia wakati sayansi darasa la sita inasema mbegu zina safari moja tu ya kuwahi kurutubisha yai?
🤣🤣🤣🤣Aslaleeee ile sayansi ya kipindi kile ilikua theory sasa nilivoingia plactical sikua naelewa ata kimoja chief mseleleko tu
 
Sasa kwanini saivi wengi hawawaoi wanaowazalisha Ni wachache Sana wanawaoa🙂
Hapa mkuu siwez kuwa na jibu la mojaa kwa moja nafikir hii inategemeana sana na mtu mwenyewe.

- Ujue kuna ile ku have sex just for funny but huna malengo na huyo mtu sasa hapa ikitokea mimba unadhan unafanyaje, kama hawakuitoa bas akizaliwa mtoto mnabaki ku co-parenting. Kwangu mimi ilikua tofauti. She was in my plans.

- sababu nyingine ambayo ni common sana japo wengi hawaitilii maanani ni commitment. Ujue ukishakua na mahusiano kadhaa, unajikuta uko commiyed kwa kila bint kwasababu tofaut tofauti kwakua wanawake wanatofautiana. Kuna wajuz wa mapemz ila hawana human skills, kuna wale wife material ila hawana ile vibe wanayopenda vijana, kuna wale principle woman ambao pia wana lack other stuffs, so ukishakua na wanawake zaid ya wawil na wote ukawapendea sifa zao tofaut , mwisho wa siku unakosa ila standing na kuwa na nan hasa, maana kwa huyu unapenda hik na hutak kukosa kile kwa mwingine mwisho wa siku mnajikuta mimba na hutak kuoa hata mmoja kwakua hutaki kumkosa hata mmoja
 
Ilikua ni situation ngumu sana maana kwanza hatukua na mawasilisno mazuri na baby mama wangu, so nikawa nawaza mengi sana ikiweno kupewa kisicho changu.

By the way ni kujilipua tu
 
aisee yaani una kula chakula kila siku, Hadi miezi 9 itimie😂🤔.

Huo muda na nguvu SI Bora niwekeze kwenye mambo ya misingi zaidi.
Kula ntakula ,ila sio mfululizo ya hio miezi 9 😂😂
Usimnyime fimbo mwenzio, hakikisha analia Kila Siku hadi anaingia leba 😜

Hela hazijawahi kumtosha mtu, kwahiyo unatakiwa kubalansi muda wa utafutaji pamoja na muda wa kuwa naye

Vinginevyo unaweza kupata mtoto amefanana na jirani yako Mzee nani 😅
 
Nimekupata Mkuu
 
Hoja nzuri Mr kipara .
 
Hii ni kweli, una jikuta you knock someone, halafu Baadae una kutana na wife material.
Lazima kipara kivuje jasho na Moshi 😂😂
 
Aisee Wata pigika kwa style za mapigano mbali mbali.
Mi ni mtu mpole Sana, ila Niki kasirika namhoji mpaka askari 😂😂
 
Hongereni Sana Mkuu milikaa muda Gani bila mtoto kwenye ndoa
 
kwakweli mimi nilijisikia vizuri japo nili aibika sana siku hiyo. sikuwa na chochote mfukoni kila kitu alifanya mama mkwe wangu.

nilitamani sana nimkimbie mtoto na mama yake but siku taka hali hiyo initawale nikakubari fedheha imagine sikuwa na pesa hata ya kununua Panadol na ndio nimesha ongeza idadi ya watu Duniani...!

hivyo nilikuwa na hali mchanganyiko furaha na muda huo huo niko na stress sana.

thanks to God nilipata kazi... 🙏

miaka 6 mbele tukapata watoto mapacha wakike warembo mno...! hawa walinikuta nimefukuzwa kazi hivyo nilikuwa na pension 🤣 hivyo pesa ya Panadol ilikuwepo...!​
 
Nilikua chuo mwaka wa tatu, nyumbani hawajui kama mm ni mjamzito, ila nilikubaliana na matokeo ya ujauzito na nilipambana sana kupata matokeo mazuri ili mama yangu afurahi coz ndo alikua ananilipia ada...hyo ya atajisikiaje akijua nina mtoto itajulikana mbeleni but cha kwanza nigraduate tu! By the way the moment I saw my daughter nililia machozi ya furaha sana!
 
Walio wengi wanawake ile sex for funny wanachukulia ndio wanapendwa ujue kumbe mwenyewe anauhitaji wa mimba na hakwambii mara paaap kitu nini kitaendelea kabifu mshenzi Kisha mleee tu mtoto😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…