Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Ila lazima uogope rafiki, imagine wazazi Wana ona hii kenge ime wahi wapi 😂😂.

Hapo USI kute wali kuwa Wana taka upige kitabu hatarii.
Vipi shemeji yetu haku taka kukimbia aisee??, maana nahisi nae alikuwa mdogo!!

Ila hongera Sana mkuu.
 
Hongera Sana Kwa kusimamia kidete, na Asante Kwa ushauri mzuri Sana🙏
 
Wee Kuna Jamaa Ali pata mtoto, kalewa kuanzia mimba Hadi mtoto kaja.
Halafu binti ana mwambia sio wake, Jamaa Ali sepa na mtoto aisee🤣😂.

Mbona wali rudisha mizigo ya jamaa×3
Wanachopaswa kufanya Wanawake wakisha tusingizia mimba, hawatakiwi mbele ya safari kuja kusema wewe haukuwa Baba halisi wa Mtoto

Kitendo cha kufanya hivyo, kinaweza kupelekea mauaji

Kuna jamaa angu mmoja, alisema Siku akiambiwa hivyo na Mkewe kuhusu mtoto wake, basi atatumia ule msemo maarufu wa Tukose wote

Watakuja kuokota mwili wa huyo mtoto akiwa amekufa hata kama itachukua miaka 5 ya kukamilisha mission 🙌
 
Hongera Sana mkuu, hizo chupa kauze kiwandani mpige hela 😂😂.

Nime jifunza kitu hapa 🙏
 
Salama lakini hatari pia, hope wangu atakuwa mwelewa.

Nisha weka bajeti ya abaya 5 nzuri😂😂
 
Sema kitu tuji funze mkuu.

Halafu uki enda town, msalimie Mzee wangu wa mchongo yule 😂😂.
Inakuwa ni furaha isiyo kifani ila watoto wasilishwe maneno wakakuona wewe mzee sio .
Zee lako nitalipa salamu ,nimemmiss pia maana ni muda kidogo sijamuona nimemiss na offer zake za masengenyo🤦‍😎
 
Nanukuu,

"""

Binafsi nina njia zangu za kuweza kujua mtoto niliyepata Kwa Mpenzi/Mke wangu ni wangu kweli ama nilibambikiwa 😜

"""
Ziweke hapa
Kwafaida ya Wana Jf wotee 😊😊
 
Inakuwa ni furaha isiyo kifani ila watoto wasilishwe maneno wakakuona wewe mzee sio .
Zee lako nitalipa salamu ,nimemmiss pia maana ni muda kidogo sijamuona nimemiss na offer zake za masengenyo🤦‍😎
Hahaha, Mimi nili ongea nae, Baadae Nika ona hapokei. So nika achana nae.

Eti offer za masengenyo😂, uki muona mwamabie aache uboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…