fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
baba kijacHo😂😂 mzee wa kulia liaSema muda ukifika tutazoea😅 baba nani vilee😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baba kijacHo😂😂 mzee wa kulia liaSema muda ukifika tutazoea😅 baba nani vilee😂😂
Ila lazima uogope rafiki, imagine wazazi Wana ona hii kenge ime wahi wapi 😂😂.Nilipata mtoto wangu wa kwanza nikiwa na miaka 17, kiukwrli nilikuwa na hisia mchanganyiko.
-Nilikua naogopa yet sijui naogopa nini
-Nilikuwa nina aibu as nilijiona dah, mi ndo naonekana muhuni mtaani
-Nilikuwa na majuto as niliona nimeaibisha walezi wangu as baba na mama walikwishafariki
-Nilikuwa nina hasira as nilijua sitasoma tena
-Nilikuwa ninahamu ya kumuona mwanangu as nilihisi atakuwa kama kamdoli
-Nilikuwa ninawivu as nilijua boyfrien wangu angeniacha
Yani tu kwa ujumla nilikuwa na sintofahamu kibao.
Binti yangu sasa ana miaka 26.
Leo hii ukiniuliza nitakwambia yafuatayo
KUTUNZA MIMBA NA KUKUBALI KUWA MAMA KWA UMRI ULE, ILIKUWA NI UAMUZI THE BEST NILIWAHI KUFANYA KWENYE MAISHA YANGU!
Hongera Sana Kwa kusimamia kidete, na Asante Kwa ushauri mzuri Sana🙏Changamoto ndio nilikua nimeanza kazi na kama miaka miwili hivi nilikua na uhaba sana na fedha na vitu vingi sana nilikua nimeandika kwenye diary na kwenye simu mpaka chumba chake tayari nilikuwa nishapanga kitakuaje ila nilijitahidi kufanya vichache nilivyoweza.
Baada ya kuzaliwa changamoto ilikuwa kwa wasaidizi wa kazi walikua hawadumu ,mwanamke wangu ana kakisirani pili dogo mpaka leo hapendi msosi mpaka aone watoto wengine au mimi niwepo nimetia sura ya kikauzu.Lishe yake huyu mwanamke ilikua inamshinda kuandaa ikabidi niingie front kujifundisha( hapa kwenyewe nishaanika ngano ,karanga ,ulezi ushasafishwa nimeuanika😄😄).Kwa swala la afya yake sijawahi kupata tatizo serious ni magonjwa ya madogo madogo tu.
Kingine mkuu wangu kuna vitu nilikuwa sisikilizi na naona miyeyusho tu ,kwa sasa inabidi kusikiliza ,kupay attention kweri kweri mfano siku yake ya kuzaliwa unaletewa budget na inabidi ukubaliane nayo na uwepo.Angalizo usilete kiumbe duniani kama huna pakushika kwani mara ya kwanza kulipa ada yake na usafiri wa shule kidogo kichwa kipasuke kama bisi.
Wanachopaswa kufanya Wanawake wakisha tusingizia mimba, hawatakiwi mbele ya safari kuja kusema wewe haukuwa Baba halisi wa MtotoWee Kuna Jamaa Ali pata mtoto, kalewa kuanzia mimba Hadi mtoto kaja.
Halafu binti ana mwambia sio wake, Jamaa Ali sepa na mtoto aisee🤣😂.
Mbona wali rudisha mizigo ya jamaa×3
Hongera Sana mkuu, hizo chupa kauze kiwandani mpige hela 😂😂.Changamoto zilikuwa nyingi sana.Ukizingatia mke wangu wazazi wake wote nikimaanisha baba na Mama ni wanasheria haswa.
Ila niseme tu mwanamke alikuwa muelewa na mimi nilikuwa muelewa.
Pili, nimempata katika wakati bado nina umri ambao wengi hawafikirii. Mke wangu alipopata mimba kwa % kubwa alifanya akili yangu ifanye kazi sana. Nilikuwa nafikiria ni namna gani ninalea Hicho kiumbe. Ukilinganisha uwezo wa kwao na kwetu kwao wana uwezo mkubwa sana kipesa lakini hakuwahi hata siku moja kuonyesha dharau.
Kingine alikuwa anapenda kunywa maji ya uhai ya chupa. Hapa nilikuwa natamani nimpige. Na lazima ukirudi urudi na udongo wa kula. Mpaka anakuja kujifungua zile chupa za maji nilikuwa naweza fungua kiwanda.
Kingine ni mara ya kwanza hivyo alikuwa anakasirika mda wowote. Ilinipa shida sana. Anaweza akakasirika au akakujibu vbaya baadae anakupigia simu Babe nimekumiss sana na huu usiku nataka kuwa kwenye mikono yako. Hakuna namna narudi.
Moment ni nyingi sana😂❤️ Huwa tukikaa tunafurahi na kukumbushana.
Salama lakini hatari pia, hope wangu atakuwa mwelewa.Wanachopaswa kufanya Wanawake wakisha tusingizia mimba, hawatakiwi mbele ya safari kuja kusema wewe haukuwa Baba halisi wa Mtoto
Kitendo cha kufanya hivyo, kinaweza kupelekea mauaji
Kuna jamaa angu mmoja, alisema Siku akiambiwa hivyo na Mkewe kuhusu mtoto wake, basi atatumia ule msemo maarufu wa Tukose wote
Watakuja kuokota mwili wa huyo mtoto akiwa amekufa hata kama itachukua miaka 5 ya kukamilisha mission 🙌
Sema kitu tuji funze mkuu.Mh haya mambo haya wewe acha tu .
Hahaha, shusha nondo tu don Corleone wa Italy. A.k.a the godfatherUshampata tayari au expecting mkuu?Jibu tushushe nondo za kutosha
😂😂😂unapenda kudeka na kulialia🥲baba kijacHo😂😂 mzee wa kulia lia
wakati ndo huu na mm ndo last born humu jf na hata nyumbani acha nideke mkuu😂😂😂😂😂unapenda kudeka na kulialia🥲
Nakubali mkuu😂wakati ndo huu na mm ndo last born humu jf na hata nyumbani acha nideke mkuu😂😂
Inakuwa ni furaha isiyo kifani ila watoto wasilishwe maneno wakakuona wewe mzee sio .Sema kitu tuji funze mkuu.
Halafu uki enda town, msalimie Mzee wangu wa mchongo yule 😂😂.
Nanukuu,Of course tuliendelea kuongeza wengine, maana Wazee tulipokuwa Edeni tulipewa maagizo kwenda kuzaa na kuijaza Dunia 🤗🏋️
Binafsi sikupata changamoto zozote kwani nilijiandaa kuwa Baba Kwa muda mrefu
Na binafsi napenda watoto, hata sasa pamoja na kuzeeka 😜
Nashauri Vijana kabla hamjawa Wazazi(Kuwa Baba/Mama) hakikisheni mmejiandaa Kwa hilo
Binafsi sipendi kuona watoto wakiteseka mitaani Kwa kukosa huduma wakati tunajua fika kwamba Kuna watu wawili walijificha sehemu wakakubaliana kuvuana nguo ili kuwatafuta hao watoto (unless otherwise)
Suala la kubambikiwa watoto lipo kwenye jamii zetu, japo miaka ya hivi karibuni limeanza kuwa sugu baada ya Wasichana wengi kuwageuza watoto kitega Uchumi. Wengi huwafungulia Kadi mbili mbili Kwa mtoto mmoja, hivyo akija Kwa Mzee Grahams natoa Hela ya matunzo ya mtoto na akienda Kwa Kijana mwenzie apewe tena hela za matunzo Kwa mtoto huyo huyo mmoja
Binafsi nina njia zangu za kuweza kujua mtoto niliyepata Kwa Mpenzi/Mke wangu ni wangu kweli ama nilibambikiwa 😜
Hahaha, Mimi nili ongea nae, Baadae Nika ona hapokei. So nika achana nae.Inakuwa ni furaha isiyo kifani ila watoto wasilishwe maneno wakakuona wewe mzee sio .
Zee lako nitalipa salamu ,nimemmiss pia maana ni muda kidogo sijamuona nimemiss na offer zake za masengenyo🤦😎
Ngoja wikiendi hii nimtafute maeneo yakeHahaha, Mimi nili ongea nae, Baadae Nika ona hapokei. So nika achana nae.
Eti offer za masengenyo😂, uki muona mwamabie aache uboya
Ngoja wikiendi hii nimtafute maeneo yakeHahaha, Mimi nili ongea nae, Baadae Nika ona hapokei. So nika achana nae.
Eti offer za masengenyo😂, uki muona mwamabie aache uboya
Be specific kwa me or ke 😊Uliona raha mwenyewe kumwagia ndani, aya komaa na mimba sasa.
My experience ni kwamba mimba kama it wasnt expected, inakujaga kuharibu kila kitu kwenye maisha yako especially kama hujajipata.