Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

Mwingine anapenda tu umalaya Yaani ni sex fantasy yake , Hii hutokana na mazingira yaliyomkuza mtu pia , though amezoea kuona marafiki ndugu ni wahuni wahuni so nayeye ana adopt huo mfumo
Kumbe kuna wengine kinakuwa kinawasha tu🀣🀣🀣
 
Chai
 
Yule boya akija kwangu anawaweka kwenye blacklist ila bado anaendelea kuchati nao nikamshtukia vingi ila hapa haifai
 
Ati bed to bed midfielder 🀣🀣🀣🀣
Sasa hao ndio wale midfielder wenyewe yaani anapiga miguu yote mwanawane, mboroooo control ya hali ya juu na touch yake ya kwanza lazima mborooo itulie tuliiii.

Vijana kama hamtaki kufa na ukimwi na ni waoga wa ngoma tafadhalini sana sana sana tena sanaaa, kuleni dada poa. Hao magelofrend na wake zenu wanaliwa kama karanga za kuonjeshwa. Huku ukimwi kama wote. Mwenze u shuhuda hapa kilishanilamba kisa kuendekeza ujinga wa gelofrend
 
Kuna siku ulisema me ni chapati, huoni ulinaharibia reputation yangu ??

Njoo tunywe konyagi plus mududu we mla kitimoto Poor Brain maarufu kama mbamizwa kobaa,,
 
Kwahiyo wewe branch ya wapi? 😹😹
Huyo mjasiliamali atakuwa kasomea Sales & Marketing
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…