Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

Hivi huwa mnatumia mbinu gani hadi mnaweza kuwa seroius na mahusiano kiasi hiki?

Yani ni mibususu tuu ndio inawaweka busy hivi?
 
Wanawake duh😂
 
Mi sijui ila usiingie kwenye mahusiano na mwanamke wa Kipare
Kuna mpare nlidate nae mwaka jana, ndani ya mwezi mmoja nkagundua ametuchanganya washikaji watatu tena marafiki. Baada ya mwezi tukaskia kagonganisha jamaa wengine wawili mapolisi. Yule demu alikuwa had anajitongozesha. Sina ham nao asee🙌
 
Hiyo ni tabia ya kuzaliwa nayo ya wapare ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…