mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
tuna miaka 6 lakini sijawahi kujua kuwa ana simu ndogo.nimekuja kumfuma bila yeye kujua namuuliza una simu ngapi akamjibu 1 una laini ngapi akasema mbili.nikamwambia mbona nimekusikia ukichat Kwa simu ndogo Mimi nilikuwa dirishani.majibu yake naona anazunguka zunguka tu.nikampotezea ila lipo kichwani.Unapita mulemule mzebaba, mtu hana kazi ila ana simu kubwa na ndogo.
Mkikutana anakua na simu ndogo, kubwa kaacha home ati haina chaji 😂😂.
Kaa chonjo.
Kama anaficha hapo kuna tatizosasa SI Bora hata ujue kuwa ana simu ndogo.hyo inafichwa.
Kumbe na wewe upo kama mimi tu.Watu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Ni kweli.ila Kwa sasa Sina wivu nae sana sababu nimeshamkinai.tupo kwenye mahusiano miaka 6.na nimeshamchoka ila yeye kawekwa gundi kwangu.Kama anaficha hapo kuna tatizo
Duh! Miaka 6, mbona mmechezeana sana, na hauna mpango wa kumuoa?Ni kweli.ila Kwa sasa Sina wivu nae sana sababu nimeshamkinai.tupo kwenye mahusiano miaka 6.na nimeshamchoka ila yeye kawekwa gundi kwangu.
Ok assuming ni wakala,je wale wasiokuwa mawakala simu ndogo wao za kazi gani?We mjinga acha uongo, je kama ni wakala
Ili simu kubwa ikizima ahamishie laini kwenye simu ndogoOk assuming ni wakala,je wale wasiokuwa mawakala simu ndogo wao za kazi gani?
HATA YESU AKIRUDI.nilishamwambia Hilo jambo asahau.Duh! Miaka 6, mbona mmechezeana sana, na hauna mpango wa kumuoa?
Shida sio kuwa na simu 2.bali kuficha simu ndogo.ina maana ana laini 3.kwaninu hyo Moja Mimi siijui?Ili simu kubwa ikizima ahamishie laini kwenye simu ndogo
Mh! Hapo kuna namna mkuuShida sio kuwa na simu 2.bali kuficha simu ndogo.ina maana ana laini 3.kwaninu hyo Moja Mimi siijui?
Mh! Kwahiyo upo kwaajili ya kumpotezea muda mwenzio?HATA YESU AKIRUDI.nilishamwambia Hilo jambo asahau.
Ninyi wadada wengi siku hizi mnamiliki smart zenye battery kubwa 4000mAh + tena Tecno na mwenzake Infinix hizi hukaa chaji zaidi ya 16hrs tena kwa heavy user.Ili simu kubwa ikizima ahamishie laini kwenye simu ndogo
Ndio ndio The Icebreaker 😆Kumbe na wewe upo kama mimi tu.
Mkuu wadada wengi siku hizi ni Iphone users na hizo Iphone hazikaagi na chaji, siye wa tecno na infinix na Samsung za mkopo tupo wachache sanaNinyi wadada wengi siku hizi mnamiliki smart zenye battery kubwa 4000mAh + tena Tecno na mwenzake Infinix hizi hukaa chaji zaidi ya 16hrs tena kwa heavy user.
Sasa sema dada gani anakaa nje ya nyumbani zaidi ya masaa hayo kiasi simu izime chaji alazimike kuhamisha line?mnachimba madini siku hizi ndiyo useme aliingia shimoni zaidi ya masaa hayo?ujanja ujanja tu
Na likukute lolote🤣🤣Mi na wapare kitachotutenganisha n kifo tu.
Kwani wana shida ganiNa likukute lolote🤣🤣
NiulizieMi sijui🤣🤣 muulize Lucha
Wengi wao warahisi wana ukimwi! Kapime baada ya miezi mitatu uanze njuguHii jinsia wanapenda sana u bore,juzi nilikuwa Morogoro kwenye kongamano fulani, nimetomba wake za watu wawili ndani ya siku 3,mmoja mmbulu ananyonyesha,kuweni makini na wanawake mnaowaoa *****