Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

Kuna demu nilikuwa naye kama mwaka hivi,alijihakikishia amisha uteka ufalme,siku moja katika kupiga story huku tukiwa tunakula-nikamtania nikamwambia kuna binti rafiki yangu anasema yeye mpaka ameolewa amisha lala na wanaume Hiece inajaa-akarukia akasema yani huyo Hiece tu mie Costa kabisa.

Kwa nzia siku hiyo nikaanza kuishi naye kimachale,badaye kuna siku nilivizia simu yake nikakuta kuna watu 2 kila baada ya siku 2 anaongea nao na wanampigia simu mpaka saa 4 usiku.
Sa hizi ni zilipendwa,nilimpa red card
 
Kuwa na mtu usiyeridhika nae ama kupendezwa nae ndio chanzo Cha ku cheat hela inasingiziwa tu (not really my type)
 
Kuna wanawake huwa hawaamini hii na anaweza kutumia hii kama sababu ya kuanza kusaliti. Unamwambia mimi sinaga mahusiano ya hovyo ya kuchanganya wanawake nikiwa na wewe ni wewe tu utasikia anaguna " mmmmmmmmmn,nyie wanaume wa sasa nyie mmmmmmmmmn " imagine mzee.
 
Akca Usidislike toa maoni?
Na wewe una marafiki wa kiume pekee?
Kwa kweli nina wote ila sehemu nazofanyia kazi hata nikihama sehemu moja kwenda nyingine, rafiki hasa huwa wa kiume kuliko wa kike. Na ni urafiki wa kawaida tu....haijawahi tokea tukawa na mahusiano. Ndiyo maana nina dislike sababu siyo kweli wakati wote ipo hivyo. Usiweke kitu negative kichwani kitakutesa ushindwe kumuamini mkeo au mpenzi wako kumbe ni mawazo yako tu
 
Kwahiyo nawe umeambukizwa ukimwi tayari. Pole sana
 
Kabisa mkuu
 
Kwa expirience yangu hapa duniani hayo ndiyo niliyoyaona.

Sasa sio issue ya imani, ni shuhuda.
 
Kwahiyo nawe umeambukizwa ukimwi tayari. Pole sana
Sasa pole ya nini wakati to every actions there is equal and opposite reaction. Sikulazimishwa kuwa best bed to bed midfielder, muhimu nafurahi nimeshenyenta mbususu kweli kweli. Ukimwi ni moya ya sababu ya kifo.
Tusitegeane mwanawane she yanta mbususu kijana
 
Hongera mkuu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii imenikumbusha binti fulani wa Chuo cha Mipango Dodoma! Nilikuwa namuona malaika! Ila alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kupanga ratiba za sisi tunaomla, tulikuwa kama njemba 5 hivi, na wote tulikuwa tunaridhika bila shida! Aiseeee..!!! Ukimuhitaji anytime anakuja....hahaha! Mpaka leo wanawake siwaamini kabisa. Nilikaacha kwa amani tu japokama nilikapenda mno, na nilipata shida sana kukubaliana na ile hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…