Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

Kipara ni issue ya kurithi na mtindo wa MAISHA .

Waweza kutumia mafuta ya Mnyonyo na kula Sana parachichi.

As well Avoid sex and mastabesheni
At least 1-3Moths

As well stress .

Ukiona hazioti ujue ni genetics hivyo itakubidi kukubaliana na hiyo hali
 
ni cha urithi? kama si cha urithi eleza hapa, zingatia mlo kamili. Paka kitunguu maji ukichanganya na mafuta ya mnyonyo, epuka stress, usimwage mbegu zako za kiume. Lala mapema mwezi mmoja utaanza kuona matokeo. For info come PM
Kwann asi mwage mbegu?
 
ni cha urithi? kama si cha urithi eleza hapa, zingatia mlo kamili. Paka kitunguu maji ukichanganya na mafuta ya mnyonyo, epuka stress, usimwage mbegu zako za kiume. Lala mapema mwezi mmoja utaanza kuona matokeo. For info come PM
Huu si ushirikina?
 
Kwann asi mwage mbegu?
mbegu zimebeba zinc na protein kwa wingi ambazo ndiyo chanzo cha nywele imara na kuota kwa haraka.

๐๐ฒ๐ฐ๐ž๐ฅ๐ž ๐ก๐ฎ๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ฉ๐ซ๐จ๐ญ๐ข๐ง๐ข ๐ง๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฎ๐จ๐ญ๐š ๐ก๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ก๐ฎ๐ง๐š ๐ฉ๐ซ๐จ๐ญ๐ข๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ฌ๐ก๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ž๐ฅ๐ž ๐ก๐ฎ๐ฐ๐š ๐ง๐ฒ๐ž๐ฉ๐ž๐ฌ๐ข ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐จ๐ค๐š
 
Hizi stori zenu ni za vijiweni sijui mnavitoaga wapi, basi walooa wote wangekua na vipara
 
Mimi niliumia. Lakini nikashauriwa nikinyoa kipara napendeza. Niliponyoa kipara Kwa mara ya kwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nilihisi nimepoteza kichwa changu.
Leo alhamdululah nimezoea. Mwendo wa vipara

Kipara ngoto ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ