BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mbona kichwa cha mtu chenye upara kuna sehemu za pembeni nywele huwa zina afya vizuri tu,kama ishu ni protini mbona hizo sehemu za pembeni za kichwa zina nywele zenye afya ?
Kwamba protini inaenda pembeni tu na sio kwemye utosi ambapo upara upo?
Au shida ni protini haijui wapi inaenda ?
Kama shIda ni hiyo huoni kama hata hiyo protini unayoshauri watu wale itaenda pembeni ya kichwa tu na sio sehemu kusudiwa yenye upara?
Yaa asili hii mkuu,Tutajie jina
na muuzaji sindio wewe pia?Nadhani anatengeneza mwenywe yule huwa anaweka kwenye kopo la mafuta ya KUZA
Chanzo cha uhakika cha kipara ni TESTOSTERONE.Kipara ni kurithi, testosterone hormone kuwa nyingi zaidi, stress na mtindo wa maisha
Songa Ugali Tule....Kipara ngoto 😂
Unawajua taasisi moja inaitwa Tawiri wanadili na mambo ya utafiti na mavitu mengine uko sijui sana ila wanayo tiba yako very natural nilikua na rafiki yangu alikua ni babu na umri wetu 30’s akaenda ofisi akachukua nikama mafuta flan ivi sasa hivi anae rasta anapambana na wazungu uko serengeti wacheki wa google utaona and its very true bro amin kabisaJamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.
Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.
Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
Mbona kichwa cha mtu chenye upara kuna sehemu za pembeni nywele huwa zina afya vizuri tu,kama ishu ni protini mbona hizo sehemu za pembeni za kichwa zina nywele zenye afya ?
Kwamba protini inaenda pembeni tu na sio kwemye utosi ambapo upara upo?
Au shida ni protini haijui wapi inaenda ?
Kama shIda ni hiyo huoni kama hata hiyo protini unayoshauri watu wale itaenda pembeni ya kichwa tu na sio sehemu kusudiwa yenye upara?
Mishima ilo dhoofu ndo hupelekea kipara .. ko unatakiwa kuipa nguvu. .. ni hivyo tu.Mbona kichwa cha mtu chenye upara kuna sehemu za pembeni nywele huwa zina afya vizuri tu,kama ishu ni protini mbona hizo sehemu za pembeni za kichwa zina nywele zenye afya ?
Kwamba protini inaenda pembeni tu na sio kwemye utosi ambapo upara upo?
Au shida ni protini haijui wapi inaenda ?
Kama shIda ni hiyo huoni kama hata hiyo protini unayoshauri watu wale itaenda pembeni ya kichwa tu na sio sehemu kusudiwa yenye upara?
Kwa kubeba magunia ya mkaa kichwani.Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.
Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.
Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
Comment yangu haijaongelea "kuzuia"Inazuia nini wakikusalimia
Huwa anaweka kwenye kopo la KUZA ingawa sio mafuta ya KUZA yaleTutajie jina
TunampatajeHuwa anaweka kwenye kopo la KUZA ingawa sio mafuta ya KUZA yale
Hapana sio mimi!!na muuzaji sindio wewe pia?
Mkuu potezea maana nishaanza kuonekana mimi ndiyo mhusika.Tunampataje
Official cut ukiwa na kipara kama cha mkapa ni shida.kunyoa official cuts mkuu.... Bado utaonekana nadhifu sana.
Sio kwamba kichwa kingine kipya kinaota?Definition mujarab kabisa hii 😃
Kipara ni upotevu wa Nywele
Na sie tuliozeeka kabla ya wakati?Na wa makunyazi sijui tusemeje
Na mvi je? Mi nashangaa napewa shkamoo nyingi mama3, kumbe mvi zinajitokeza. Pisi zinanipa shkamoo badala ya kunipa papuchi.ni cha urithi? kama si cha urithi eleza hapa, zingatia mlo kamili. Paka kitunguu maji ukichanganya na mafuta ya mnyonyo, epuka stress, usimwage mbegu zako za kiume. Lala mapema mwezi mmoja utaanza kuona matokeo. For info come PM