Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Pole,umeandika kwa uchungu sana.
 
Siku nikiamua kusimulia kisa changu jf itatikisika ila sa hv hapana labda 2025 nitaweka mambo hadharan! Weka mbali na watoto tuendelee kupambana
Usipende kukaa na dukuduku kwenye koromero. Weka hapa nafsi yako ipate kusuuzika
 
Niliwajali sana wengine na kuwapa kipaumbele kuliko mm binafsi...nikashindwa kujiendeleza but Mungu ni mwema analipa kwa usahihi matendo yetu....so Mwanangu akiweza naye awekeze pia kwa watu bila kujali watamlipa nn ili asidaiwe na wenye hila kuwa binafsi sana....sahiv sina lawama na ndugu labda marafiki kidogo sana naenjoy life yangu kama ndege arukavyo kwa uhuru wake angani...
 
Mwanamke anakusaliti then unajisifia wewe ni mvumilivu kabisa? Mkuu huo ni udhaifu sio sifa, achana na hiyo shetani haraka sana.
Ukikurupuka huwezi muelewa jamaa. Think twice or thrice utapata mwanga kidogo
 
Halafu we kenge unajifanya sio mtoto wa peasant?
Mpuuz wewe
Nafurahi kukuambia una akili kama za NZI.Unajua NZI anapendelea vitu viwili tu choo na mavi.Haya nenda chooni au kwenye mavi haraka sana.
 
Nafurahi kukuambia una akili kama za NZI.Unajua NZI anapendelea vitu viwili tu choo na mavi.Haya nenda chooni au kwenye mavi haraka sana.
Mbona umesahau cha tatu na watu wanaojinyea kama wewe inzi anawafuata sana na wanao nuka k
 
Mbona umesahau cha tatu na watu wanaojinyea kama wewe inzi anawafuata sana na wanao nuka k
Brainless individual .Katika vitu vyote vya maana siku ya leo nimechagua kukupuuza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…