Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Movie Inanzia hapo Sasa!!
 
Dont be judgemental mkuu,uzi unaelezea watu wanavyojutia ,ww unacrtice majuto yake,sio sawa.
 
Mkuu npo apa Singida Ilongero inabidi unipe mfano halisi
Ukioa mwanamke wa kinyaturu jiandae na haya yafuatayo au zaidi
1. Uchawi
2. Wivu kupindukia ambao humpelekea mwanamke kukurndea kw amganga(hapa mama na mwana hushikamana)
3. Jiandae kutawaliwa (Ukiwa mbishi hata kwa limbwata utatawalika tuu)
4. Viburi balaa
5. Wanaushirikiano na kaka zao kukukandamiza
6.Atasaidia ndugu zake zaidi(waambie ndugu zako wajiandae kunyanyasika)
7.Watoto watapajua kwao zaidi kuliko kwenu(kuna mfumo hutengenezwa hapa)
8.Usiamini kila unayeambiwa ndugu ni ndugu mara nyingi wanakulana hata ndugu
9.Wavumilivu
10.Wanajua kutunza na kusimamia familia
11.Wamekeketwa
12.Ni warahisi kugegedwa nje na mwanaume mwingine
13.Ndugu zake kujazana au kupishama kwako. Yaani akiondoka huyu anaingia yule
14. Tarajia kaka zake kuingilia ugomvi wako na mkeo(yaani dada yao watamtetea)
15.Na zingine nyingi tuu ukishamsogeza utaziona mkuu.
 
Hongera kwa uwezo huo
 

11. Haolewi au kudumu kwenye ndoa 1
 
mkuu hawa si ndo wanatajika sana uko mijini kwa uzuri yani ni kama hawaingii bafuni vile au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…