Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Kujiingiza ktk madeni
 

Ni kweli kabisa, ila baada ya kujipata niliona niachane nayo kwa muda maana ilinipotezea muda, ila huko mbeleni nitarejea siku moja.
 
Degree tatu halafu hujui tofauti ya Faculty na course! Wewe ilikuwa unadesa si bure
that's how unauza nyanya Tena itakuwa masalo
 
U
Sina ninachojutia. Kila nilichopitia kilikuwa daraja la kunifikisha nilipo hivi sasa.
Najitahidi kuwa bora, nisiwe kama nilikotoka.

Majuto yafaa nini ikiwa maisha ni sasa?
Anza kuishi sasa, achana na yaliyopita.
Uko vizuri mno madame. Kila kosa ama zuri,adui na rafiki wote huwa Ni content ya maisha yetu pia huwa Ni pushing force ,ndio Mana Kuna Giza na mwanga , God and shetani ndipo uumbaji ukakamilika. Nimekukubali Ila Kama ulichokiongea kimetoka moyoni
 
bashay apa mzee nije tupige kazi[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…