Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Mmmh....!!! Huyo Bakheresa mwenyewe ana utajiri kiasi gani mpaka Kila mwezi awe anawapa watoto wake Kila mtu $200k za kwenda kutupa tu?

Na wewe kweli umeikubali kwamba Kila mwezi Bakheresa anampa Kila mtoto wake Tsh.500m za kwenda kuchezea tu?
Hakunaga tajiria anafanya ujinga wa aina hio 😂!

Ungeniambia festive season anawapa budget ya $200k waende wakainjoy maulaya huko ningekubaliana na hilo. Ila sio kila mwezi!
 
Hao wakishua kweli
 
Duh! Yaani laki wanaitumia kununua chakula Cha majitu ambayo hayana maana yoyote kwa maisha ya binadamu

This life has no balance
 
Daah huyo kweli Tajiri
 
Wewe Ni jinsia gani mkuu?
 
vipi mmetoboa wangapi au wote mme hifadhi vyeti makabatini?
 
Daah huyo kweli Tajiri
Hata hiyo ofisi nilokuwa nafanya kazi most of the customers ni watu wenye status ndiyo wateja wakubwa tena wengi ni kutoka nje ya nchi na kama ni wateja wa ndani ya nchi basi ni watu mashuhuri na wakishua ningeitaja jina hakuna ambae haijui humu ila naweka kwny mabano humo ndyo nilipata connection ya watu mashuhuri ndani na nje ya nchi mpaka nikaacha kazi.
 
Wee jamaaa umefanya nipaliwe hapa...duh! Najaribu vuta picha huo mshangao uliopata kusikia paka budget laki.
Kumbe ule msemo wa bora uzaliwe m wa ulaya unapply ata hapa bongo. Kuna pala wanaenjoy kuliko ata binadamu. Dunia hii nyie.
Ume ikumbusha back in 2006 naangalia channel ye E! Wakaonyesha mbwa wa opra kavaa nguo ya $400 aisee eti nae analala kwenye 5 star hotel
 
Hii ndio inaitwa show me ur parents and i will show u why u r successful in life
 
Ilikuwaje ukaacha kazi kwenye hiyo kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…