Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Unakutana na car park ina magari hadi unashika mdomo, yote 100m+ na yapo kama matano hivi, unangalia mazingira unasema kweli watu wanaishi vizuri, ukiingia ndani kuna sebule tatu-nne hivi, unaambiwa come this side tuongee, huko tuwaache wanaoangalia πŸ“Ί, its a place for talks/serious convo.

Huwa nasema nikimiliki kitu ya vile nitashiba mda wote.
 
Mi nilijua pesa ipo,pale tulipopita mageti matatu ndo ufike kwenye main house.Na cha kushangaza kabsa nilikuta lifti kwenye nyumba binafsi ya ghorofa moja..Mengine yaliyomo ndani nikisimulia mtapata depression maana ni kijana mdogo sana huezi amini kwa kweli watu wanaishi..God punish poverty in my life😀
 
Hy bill yake alilipia nini au ilikuwa n muamala wa nn?
 
 
Ujue mpaka Leo bado ni ngumu kuvimliki hivo assume mabibo mtu aweke🀣jakuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…