njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
D mbili muhimu😂😂Wachagga kwao Christmas migombani.....
Kuna familia kadhaa wanapaki private jet zao KIA....halafu haoo kimya kimya migombani.
Sasa humo migombani humo...ngumu kuelezea ukaeleweka kwa lugha ya kawaida.....
Maziwa kwanza makali,, alafu yameharibika.Kwa vipi?? 🙂
Zinaitwa "Jet Ski"mixer vile viboti vya kwenye maji kama pikipiki artificial bwawa bonge moja la eneo
Bakheresa mwenyewe tu utajiri wake tunaambiwa haufiki hata $2b.... Halafu leo hii eti awe anatenga $200k Kila mwezi anawapa watoto wake waende wakaitupe?, huo uwendowazimu hata watoto wake wenyewe tu hawawezi kuukubalia.Hakunaga tajiria anafanya ujinga wa aina hio 😂!
Ungeniambia festive season anawapa budget ya $200k waende wakainjoy maulaya huko ningekubaliana na hilo. Ila sio kila mwezi!
Inashangaza sana, halafu watu wanaona sifa eti..Yaani jamaa wanakaa Petrol Stesheni-Sheli?
Hilo suala la familia nzima kuwa na degree kitu cha kawaida sana mzee au ulilenga kusema nini?Mzee wangu alitokea familia ya kimaskini Sana.
Babu alikuaga na ngo'mbe wengi Sanaa
Kimiujiza miujiza miaka ya 60's watoto wa Babu kwa miaka tofauti tofauti walikua wanafaulu darasa la saba na kuchaguliwa shule za SERIKALI
Walisomaga zamani na wakabahatika kupata kazi nzurii serikalini na wote wamekua watumishi mpaka Kustaafu kwao utumishi serikalini.
Kwenye tumbo la mama tupo wa 5 hakuna hata mtoto mmoja ambae Hana degree wa mwisho ndio kamaliza hapo Udsm mwaka huu
NB.
Kuna familia ukizaliwa unakua mwenye bahati na chance kubwa ya kuwa na option mbali mbali za kutimiza ndoto/goals E.t.c
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtindi ni mlo uliooza
[emoji23][emoji23][emoji23]mie nilikuta teja sebuleni
Jamaa anatupiga hapo afu anakimbilia ety alihukumiwa na mwenzake 😂Muongo
Sio kitu Cha kawaida maana Kuna familia nyingi hazijaweza ku support watoto wao kwa kiwango icho Tena kwa pesa yao wenyewe.Hilo suala la familia nzima kuwa na degree kitu cha kawaida sana mzee au ulilenga kusema nini?
LAzima uone chai watu wanaishi mzee baba..Chaiii...