Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Yote hayo lakini marehemu hakufufuka. Mimi ni Christian ila napenda waislam hawana tabia ya kuchosha marehemu.
 
Hili nalo neno kwako Extrovert
 
Fatuma ni nn?
Miaka ya 60's mpaka early 2000 kilikuaga na wizi /uvamizi kuvunja mlango na ndio kisa Cha watu kuanza kuweka milango ya ma grill

Iko ivi wezi watakuja na jiwe kubwaa ambalo liliitwa FATUMA....Wezi watakua na mbeleko na wanaweza kuhesabu mpaka tatu na kulirusha jiwe uelekeo ulipo mlango then mlango utavunjika ndipo watapata nafasi ya kuingia ndani na kuwaibia Mali mbali mbali..

Wengine watakuja kuongezea zaidi..
 
Hahaha
 
Shukran nimeelewa
 
Duuh
 
Kwa wakati ule mlikuwa matajiri wakubwa sana
 
Kuna wezi waliendaga kuvamia nyumba ya kibibi na jiwe fatuma.

Wakati wanaliset set bibi akaamka akawasikia mipango yoote,

Bibi alichofanya alienda akasimama nyuma ya mlango, wale jamaa wakaanza moja, mbili...... ile kufika tatu, bibi akaufungua ule mlango ghafra, jiwe likapita mazima bila kugusa mlango mpaka ndani kisha kwa haraka akaufunga.

Jamaa wakakosa means ya kuvunja mlango wakaanza kumuomba bibi awafungulie walau wachukue jiwe lao
 
Huyo alikudanganya mkuu, kwanza EWURA hawawezi kutoa kibali na pia OSHA hawawezi wakatoa kibali cha kuweka fuel station kwenye makazi ya mtu.
Inawezekana

Makampuni mengi ya usafirishaji wana pump kwenye yard

So mtu anakuwa na yard pembeni ntumba yake

Hii kuna jamaa angu kwao wanakarakana kabisa ya magari ya familia

Tembea uone
 
epuka matapeli mil 500 kwa watu wawili tu ni bill moja hiyo!..
ndio ni tajiri lkn mh! matajiri nao huwa wana kanuni zao tena zaidi kwa watoto wao huwa hawapendi wawe na matumizi yakufuja mali maana ndio kesho ya utajiri wa mzazi wake.
Kwa magawio ya faida kwenye biashara inawezekana kabisa

Maana wanatengeneza hela ndefu
 
Duh. Kama ni kweli huyu bibi ni jasiri kama magaidi wa kujitoa mhanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…