Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kuna siku brother angu mmoja yupo hapo Dodoma.Hii kweli
Kuna nyumba hapo makonde mbezi beach walikuwa na budget ya mbwa kama 700,000 kila mwezi na anakula nyama kwa asilimia kubwa
Kweli hii ilitokeaga maeneo mbali mbali ni hatare sanaaa Sanaa 😊 mkuu.Kuna wezi waliendaga kuvamia nyumba ya kibibi na jiwe fatuma.
Wakati wanaliset set bibi akaamka akawasikia mipango yoote,
Bibi alichofanya alienda akasimama nyuma ya mlango, wale jamaa wakaanza moja, mbili...... ile kufika tatu, bibi akaufungua ule mlango ghafra, jiwe likapita mazima bila kugusa mlango mpaka ndani kisha kwa haraka akaufunga.
Jamaa wakakosa means ya kuvunja mlango wakaanza kumuomba bibi awafungulie walau wachukue jiwe lao
Yalikua Maisha ya kawaida Tena tukiishi low profile.Kwa wakati ule mlikuwa matajiri wakubwa sana
Jamaa aliniambia mimi sijui maishaHata Kama ni kubana matumizi jamaa anabana matumizi kwa kiwango Cha SGR
☺️☺️
😂😂🤣🤣Jamaa aliniambia mimi sijui maisha
Kisungura je kakukopesha? HaaaaaDah kwahy paka wamekufa na mamilioni 😭 dah nmelia sana mpaka mangi ameamua kunikopesha unga mana alikuwa anakataa hapa.
Uko sahihi kabisa na mara nyingi wale jamaa huwezi kuamini ule mjiwe walikua wanausomea visomo kwa waganga wao wakibeba ni jepesi na wanakuja nalo ila likirushwa ni kama Myahudi karusha kitu kwa mzee Sinawali pale Gaza na nyie kubeba hamuwezi ila wao wenyewe safi safiMiaka ya 60's mpaka early 2000 kilikuaga na wizi /uvamizi kuvunja mlango na ndio kisa Cha watu kuanza kuweka milango ya ma grill
Iko ivi wezi watakuja na jiwe kubwaa ambalo liliitwa FATUMA....Wezi watakua na mbeleko na wanaweza kuhesabu mpaka tatu na kulirusha jiwe uelekeo ulipo mlango then mlango utavunjika ndipo watapata nafasi ya kuingia ndani na kuwaibia Mali mbali mbali..
Wengine watakuja kuongezea zaidi..
😂😂🤣🤣Uko sahihi kabisa na mara nyingi wale jamaa huwezi kuamini ule mjiwe walikua wanausomea visomo kwa waganga wao wakibeba ni jepesi na wanakuja nalo ila likirushwa ni kama Myahudi karusha kitu kwa mzee Sinawali pale Gaza na nyie kubeba hamuwezi ila wao wenyewe safi safi
Huku pia tia maji tia maji 🤣🤣🤣Niunganishe kwenye circle nyingine kwanza, hii yangu hapana 😂
Tukitoka kwenye mtindi tutahamia kwenye njugu mawe.Dr am 4 real PhD
Dactar hivi kuna faida ya kunywa maziwa mtindi... Kwa faida ya wote tupe na madhara yake kabisa (sorry nje ya mada)
Kuna mtu hapa anapenda mambo ya jabu ajabu
Namaanisha wewe ERoni
Amenikopesha ntakuletea wwKisungura je kakukopesha? Haaaaa
Sijaelewa.sio kweli. sisi wenyewe mzee alikua anaenda zambia hio 80s ilikua colgate na ndara zile subutu ukutwe nazo na serikal .gari alinunua Niva kwa rafiki yake mzungu alikua kigoma UN ndio yule mzungu alikua anaruf kwao akamuuzia friji.heater pressure cooker.even us we had those things
Tutafute pesa Gentleman..!!Hii kweli
Kuna nyumba hapo makonde mbezi beach walikuwa na budget ya mbwa kama 700,000 kila mwezi na anakula nyama kwa asilimia kubwa
HA!HA!HALAzima uone chai watu wanaishi mzee baba..
Nishashuhudia MBWA wananunuliwa Nyama STEKI tena za mbavu kikahesabiwa kibunda nyama ikabebwa.
Yote kisa mmbwa ni mzazi katoka kuzaaa,na ile ni siku zote.
Hamna chai mzeee ni pesa watu hawana pakupeleka
Hiyo ni verse ya Nikki mbishi mkuu, Ngoja aje akuelekeze Poor Brain ..Nchi yenu au nchi yao?
Wakuu,
Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu
Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣
Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani
Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀
Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
Shamba boy ana gari yake aina ya double cabinWakuu,
Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu
Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣
Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani
Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀
Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
[emoji23]Friji limejaa ma yogurt, masamaki, manyama...