Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Sijawai stushwa na Kitu chochote cha mtu.

Japo wakati naanza firstyeae, kuna rafk etu alikua kaomba mkopo na kapangiwa 100% I'm ila cha ajabu, mzee wake alivo jua akamwambia andika barua loarboard kua wasitishe huo mkopo.

Toka hapo nikajua jamaa kwao sio wachovu.
Sasa mzee wangu unasema hujawahi kushtushwa na chochote kumbe mtu kulipiwa ada ya chuo tu umeshtuka hahaha!
 
Maisha hatufanani..kabisa nimekuja kuona tena kitu kama hicho kwa boss wangu mmoja mzungu nae anapaka wake nyumbani wanabudget kubwa kama laki 4 kwa mwezi isee mapaka manene hadi kutembea yanashindwa..

paka wananunuliwa hadi toy za kuchezea..
Jamaa akaniambia hawa paka waliokotwa kwenye jaa kwanza hawataki mazoea na rangi nyeusi kabisa wakiwaona wanaondoka na yule mzungu alivyo mweu anasema hataki wageni kwake wanawapa stress paka wake..
Nikacheka sana nikasema hao paka wanajua balaa la jua kali huko nje wamekubali kuwa machawa hapa maisha yaende..mzungu aamini hivyo anaamini wale paka wanapata msongo wa mawazo sababu sisi waafrica tuna watisha na kuwapiga ovyo bila sababu.
😁😁👏👏😆😆😆😄😄😂😂😂😬😬 Mpaka paka na mambwa Wazungu wanayapanda.

Hujasikia Bilionea Ratan Tata aliyevhta Uzi amemuachia paka wake Urithi wa mabilioni? 😂😂
 
Kuna siku nilienda kufunga WI Fi mbezi beach jogoo, wakati nipo sitting room naendelea na kazi ghafla namuona dogo anakuja na bulungutu na Euro 50/50 zipo kwenye tape hazijafunguliwa anaendesha kama gari😳 mwili ulipigwa na ganzi isiyo ya kawaida, akili ya kutaka kulichukua ikanijia (kuiba)🤣 nikiwa najiuliza sijafanya maamuzi nikamuona dada yake anaita mamie...nourin anacheze hela za baba...mama yake akiwa jikon simple tu akasema mnyang'anye Kisha ufunge mlango wa chumbani....hakuna siku mapigo ya moyo yalinienda mbio kama siku hiyo nahisi yule mlaika alitumwa Kuna kunitoa umaskin🤣🤣
 
Mimi Kuna dogo alikuja kwetu, tukampa makande baada ya kula mtoto akaanza kulalamika ameshiba sana, hapumui vizuri...alivyokuja mama yake akapelekwa Agakhan just for check up....kumbe kwao hawakitambui kama chakula Cha binadamu 🤣🤣🤣
😄😄😄😄
 
Kama ulaya na marekani kulikua mbali Sana in terms of infrastructure & technology.

Vitu Kama washing machine,bomba la mvua linalo toa maji moto na baridi bafuni, vitu Kama oven, fridge,Tv, jakuzi, pasi ya umeme yaan ilikua nadra Sana miaka ya 89's kumiliki ivyo vitu.
Wachache Sana ndio walikua na hiyo access
Yaani mtu mzima nianze kuingia kwenye jakuzi? 😂😂😂

Si Bora niende beach nilishindwa sana huko kwenye swimming pool
 
Mbweni hapo, tumeingia getini upande wa kulia swimming pool, kushoto garden na parking. Pale swimming pool Kuna fridge ya LG milango miwili. Parking kuna Range mbili moja ya Mama na nyingine ya baba. Kuna gari nyingine tatu za watoto watatu. Kwenye corridor ya mbele Kuna fridge ya LG milango miwili. Kilichonishangaza ni ukubwa wa jiko size ya nyumba ya vyumba vinne ndani ya jiko Kuna counter, fridge kubwa, Kuna meza ndefu na bado nafasi inabakia kubwa tu ya kukimbia. Nyuma ya nyumba Kuna garden na fridge nyingine. Watoto wote watatu hawajaolewa na wote wamesoma Uingereza kua

waolewe wana dhiki gani ndugu yanguu kuna maisha kama movie
nzia secondary school. Tanzania
 
Kuna siku nilienda kufunga WI Fi mbezi beach jogoo, wakati nipo sitting room naendelea na kazi ghafla namuona dogo anakuja na bulungutu na Euro 50/50 zipo kwenye tape hazijafunguliwa anaendesha kama gari😳 mwili ulipigwa na ganzi isiyo ya kawaida, akili ya kutaka kulichukua ikanijia (kuiba)🤣 nikiwa najiuliza sijafanya maamuzi nikamuona dada yake anaita mamie...nourin anacheze hela za baba...mama yake akiwa jikon simple tu akasema mnyang'anye Kisha ufunge mlango wa chumbani....hakuna siku mapigo ya moyo yalinienda mbio kama siku hiyo nahisi yule mlaika alitumwa Kuna kunitoa umaskin🤣🤣
Halafu mission ikafeli aah ukawa kama Musa unaiona kanaani afu huingii
 
Back
Top Bottom