puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
Msinichoke ...hii mada ni kama imekuja kwa ajili yangu, Nina shuhuda nyingi cjui ni kutokana na kazi ninayoifanya.
Kuna nyumba nilienda hata kabla ya corona kuingia Tz, pale getini wamefunga zile mashine za kuji sanitize (Ile kama kachumba Cha kutoa mvuke) huwez ingia pale ndani bila kupita kwenye Ile mashine🤣
Kwa hiyo kama umekuja na chawa, kunguni, papasi, viroboto...wanavifanyia Farmington mapema🤣🤣🤣 usije waletea shida washua.
Siku hiyo nilicheka sana na kujionea huruma at the same time.