Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Msinichoke ...hii mada ni kama imekuja kwa ajili yangu, Nina shuhuda nyingi cjui ni kutokana na kazi ninayoifanya.

Kuna nyumba nilienda hata kabla ya corona kuingia Tz, pale getini wamefunga zile mashine za kuji sanitize (Ile kama kachumba Cha kutoa mvuke) huwez ingia pale ndani bila kupita kwenye Ile mashine🤣

Kwa hiyo kama umekuja na chawa, kunguni, papasi, viroboto...wanavifanyia Farmington mapema🤣🤣🤣 usije waletea shida washua.

Siku hiyo nilicheka sana na kujionea huruma at the same time.
 
Amini usiamini lazima kuwe na geti la pili ambalo hakuna hicho chumba, mana matajiri wenzake wakija hawezi kuwapitisha kwenye hicho chumba hvy hicho chumba n kwa ajili yetu walalahoi 😂
 
Yaani mtu mzima nianze kuingia kwenye jakuzi? 😂😂😂

Si Bora niende beach nilishindwa sana huko kwenye swimming pool
Mm labla n umasikini wangu ila kuoga kwenye jakuzi naona kama uchafu hv mana ule uchafu wa mwili bado unakuwa kwenye maji yale yale ambayo ww bado upo nayo hapo hapo umeyazamia.
 
Malaika alitumwa kukutoa kwenye umasikini ila shetani kutokea jikoni akaingilia maamuzi ya malaika 😂
 
Mngemuua dogo, wangetangaza dogo amekufa kwa kupewa sumu aina ya makande 🔥🔥
 
Ww jamaa fala sana 😂😂😂
 
Inawezekana

Makampuni mengi ya usafirishaji wana pump kwenye yard

So mtu anakuwa na yard pembeni ntumba yake

Hii kuna jamaa angu kwao wanakarakana kabisa ya magari ya familia

Tembea uone
Kwenye industrial ares yes inawezekana, lakini kwenye nyumba ya mtu ambayo ni makazi, mamlaka haziwezi zikatoa kibali mkuu.
Ebu mkiwa mnatetea hoja basi msitusokote sana
 
Hongera Sana invutia Sana story yako na Ina inspire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…