Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Mzee ulienda nyumbani kwa Mama kizimkazi ?
 
Huyo alikudanganya mkuu, kwanza EWURA hawawezi kutoa kibali na pia OSHA hawawezi wakatoa kibali cha kuweka fuel station kwenye makazi ya mtu.
Unachokataa mkuu ukijui mm babu yangu alikuwa na fuel pump hadi Leo bado ipo. Ilikuwa wa mafuta ya taa na diesel na watu walikuwa wanakuja kununua mafuta kwa babu pale , pia kulikuwa na jengo la posta office hadi sasa bado lipo pale nafikili ni kutokana na umaarufu na pesa ya hahaha pamoja na chai . Miaka hiyo vitu viliwezekanahivyo
 
unashanga mil 5. baresa kila mwez pesa ya matumiz kila mtoto analamba m 500
Mmmh....!!! Huyo Bakheresa mwenyewe ana utajiri kiasi gani mpaka Kila mwezi awe anawapa watoto wake Kila mtu $200k za kwenda kutupa tu?
kwa familia ya mzee bakhresa hapo sawa
Na wewe kweli umeikubali kwamba Kila mwezi Bakheresa anampa Kila mtoto wake Tsh.500m za kwenda kuchezea tu?
 
Tulihama mkoa na huko tulipoenda tukapata jirani,,, wenyewe walikua hawaendi shule kusoma wanasomea nyumbani tuu walimu wanakuja kuwafundishaπŸ˜‚ shule wanaenda kipindi cha mitihani yenye maana tuu.. Tulivomaliza form 4 kila mtu alikabidhiwa biashara yake rasmi na mtaji wa kutosha, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kipindi iko sisi wengine ndo tunapambana kusoma vile vikozi vya kompyuta sijui nini tukisubiri matokeoπŸ˜‚πŸ˜‚. Sikuhizi nawaona huko tiktok wakifanya challenge na products zaoπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Mmeongea habar za paka kutumia laki hadi nmecheka
Nakumbuka miaka kadhaa nyuma Bro alikuja home, hakuwa home kwa muda so akarudi na rafk ake sasa skuio wakapikiwa wali na samaki wakatengewa wali na samaki mkubwa uyoo sa ngap muda wa kunawa pale yule paka akarukia yule samaki akashuka nae mpka chini,
Aisee nlikua naskiaga paka anaroho saba ila sjajua labda skuio alitembea nayo moja ama vipi maana alipokea rungu moja ata sjui bro alitoa wapi rungu lile maana hazikuisha hata sec 30 toka bwana paka azingue na paka alikaa kmya hadi leo hii navyoongea ndugu waandxh wa habar
 
Wewe
Una biashara gan sahivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…