Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Hata hiyo ofisi nilokuwa nafanya kazi most of the customers ni watu wenye status ndiyo wateja wakubwa tena wengi ni kutoka nje ya nchi na kama ni wateja wa ndani ya nchi basi ni watu mashuhuri na wakishua ningeitaja jina hakuna ambae haijui humu ila naweka kwny mabano humo ndyo nilipata connection ya watu mashuhuri ndani na nje ya nchi mpaka nikaacha kazi.
Duuh
 
Kuna mtu alisema eti Bakhressa anaingiza zaidi ya billioni 2 kwa siku moja.

Nilishindwa kumzuia maana sina uhakika wa hoja za msingi
Ni kweli mkuu soma hapa
👇👇👇👇👇👇

Its daily capacity for manufacturing is 2100 metric tons and made sales of $800 million in 2011.[1] Bakhresa's Azam
 
Back
Top Bottom