Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Nlikutana nae kwenye Bus akawa anasumbua kinoma kila sehem anauliza hapa ni wapi mi nikaona ananizingua sasa ili nisimjibu nikaamua nijidai nimelala sasa akaanza kuniuliza maswali bila kujua mi nimefunga macho na nimejidai nimelala kaongea kama dakika 5 akageuka kuniangalia akanicheki kama sekunde 10 ananishangaa nimelala sangapi nikajikuta nimecheka ndo hapo tukaanza kucheka hadi ikawa hivyo
 
mwamba una mbinu za kivita.. salute
 
Alifanyiwa diversion, akapimwa HIV bila kujua, baada ya kuona yuko clean. Akalala siku hiyo.
Na ulifanya kusudi sababu ushamuelewa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mimi bana aliniambia nyie madent hamjatulia njoo nikupime HIV, na mimi najijua mtulivu nikampa mkono toa damu dr nipime.!!
Ila hapo kiroho kiko juu juu, nikamwambia naomba niende toilet mara moja akapiga simu maabara nikaletewa kopo likashushwa shuka la kijani nikojoe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ile siku mpk ujauzito nilipimwa dadeq.!!
Nikajipigisha simu ya uongo nikajifanya network haishiki ili nikimbie si akanipa simu yake.!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nilitamani nimtukane alinikwaza sana mwenzie nilikuwa na beep wala sikumaanisha.!!
Majibu yalivyotoka niko fresh niliruka kwa furaha naye si akanihug akanila mate ๐Ÿคฆโ€โ™€๏ธ
Basi matibabu mengine yakaendelea mpk leo
 
Haiwezekani kwa tabia hii ya huyo daktari kama waziri mwenye dhamana lazima niingilie Kati. Anampiga denda mgonjwa ... this is ridiculous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ