Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Hayo madude yako romantic sana halafu lina sauti flani la Jaivah 🫦💦💦

Kwahiyo wii ukapita naye? 😹😹😹
 
😂😂😂Nimecheka had nimepaliwa
Kuna siku nilisemaga nna mapacha halafu nikasahau sasa si kuna member akaja kunikumbusha nikabaki nashangaa.!! 😹😹😹
Akasema mbona ulichangia na hongera nikakupa na mimi baba wawili km ulivyo wewe mama wawili 🤣🤣
 
😂😂Ngoja nilie kwanza Wii
Nikajifanya mapozi mengi mara aibu mara simtaki alikuwa ananitafuta lkn bhana Yan tulikuwa hatuendani likaka lile mwee 🤣🤣
Wifi ulikuwa sitaki nataka muonee 😹😹😹
Mwishoe ukampea 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…