Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Hao ndo balaa Tena rafikizangu mmoja kaolewa na mwanajeshi mmoja anadate na mwanajeshi ni wanapokezana kulia weekend hii akija huyu weekend ijayo mwingine mm ndo mama mbembelezaji 🤣😃😃
Doh😁😁🙌🙌🙌
 
Olewa na mwanajeshi 😁😁😁ili wapigane vizuri
 
Nilikutana naye ofisini kwake.. Yeye ni designer na nilimpeleka Bi mkubwa kwenda kupima nguo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…