Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
π π π ulikua muonevu... afu ukute wewe ndio ulikuwa unagusa sanaMpira wa miguu, tena nikaja na sheria yangu ya One Touchπππ
ππππ π π kuna mijitu ilijikuta chenga nyingi sana... bila sheria tusuπ π π ulikua muonevu... afu ukute wewe ndio ulikuwa unagusa sana
Kweli kabisa, badala ya kutafuta njia nzuri watoto wakafurahia michezo na kupata muda wa kufanya mambo wengine ni mwendo wa fimbo tu.... huenda ungekuwa Messi wetuπππ ila Messi mvivu π π πMpira ase alaf nilikua superstar wa timu nacheza namba 9 tu sitaki kukaba nasubiri wenzangu watafute mpira watengeneze assist nifunge, Sasa ole wako uanze kunisema kuwa nawategea kukaba , nikizira kucheza wana wanakutoa uwanjan maana umemkasirisha mchezaji wanae mtegemea
shida ilikua nikirudi nyumbani nachezea fimbo nyingi sana kwa kosa la kuchelewa kurudi baadae nikaacha kabisa na hivyo ndo zinakufa ndoto za watoto wa kiafrika
Noma sana, mixa kichina pale katiππMagemu ya motokombati
Ajali kazini, muwekee mazingira asije akaumia vibayaSarakasi. Mama yangu alilia mno nilipoteguka kiuno kwa kuanguka vibaya.
Nikaacha mpaka na leo. Maji hufata mkondo, dogo naye kashaanza kuruka. Nikimuangalia nasisimka kwa kuogopa.
Mi nilikuwa fundi kwenye TetrisNilikuwa kichaa wa game za computer.
Need for speed 2
Mortal kombat 4
Gta
Thief demo
Delta force
Moto racer
Dave, Mario, Angelo
Sina hamu tena na magem sikuhizi,
Mwendo wa kupuna tu π π πGorolii yani mpk watu wanakataa kucheza na mimi, kamali za kupiga penalty nilikuwa fundi sana kama haujui uwezi thubutu kucheza na mimi, mpira wa miguu
Michezo ya baba na mama,Mimi na rikiboy hao mitaa ya Tandale DSM miaka Ile ya late 1990s kwenda the early 2000sWakuu,
Watoto na michezo ni kama samaki na maji, wengi tushazama kwenye michezo mpaka tukaja kufatwa na fimbo huko tulipokuwa. Wakati mwingine mzazi mpaka anapata wasiwasi labda mtoto kapotea, kumbe mtu kazama kwenye kombolela huko?
Katika michezo yote niliyoweza kucheza rede nilikuwa fundi, yaani mpaka watu walikuwa hawataki nicheze maani nikiingia ni kufunga tu, na tukiwa wengi ni mwendo wa kuokoa wenzangu tu. Pia niikua nilikuwa fundi wa kucheza goroli, yaani nilikuwa na makopo yaliyojaa goroli zilizopuna watoto wengineπππ.
Wewe ulikuwa bingwa wa kucheza mchezo gani utotoni?
View attachment 2647601View attachment 2647603
View attachment 2647604View attachment 2647598
AahahaaaaaMwendo wa kupuna tu π π π