Ulikuwa bingwa wa kucheza mchezo gani ulipokuwa mtoto?

Ulikuwa bingwa wa kucheza mchezo gani ulipokuwa mtoto?

Mimi bana tukiwa tunacheza kombolela nikijificha na msichana hatuonekani tena huko ni mwendo wa kufanya matusi kinguonguo.Hata ule wa kimamamama na kibabababa nilikuwa naupenda sana
 
Tulioishi vijijini kuwinda ilikuwa kipaumbele kwetu, kuzuruoa maporini kuokota matunda hatukuwa na utofauti na Hadzabe
 
Piga sana football+sarakasi.pia nilikua mtaalamu sana wa kaunda magari ya maboksi,wakawa wananiita Engineer
 
Kombolela,,,watu wanajificha huku wanawatoa bk waliojificha nao..........,mkude aliharibu kwa kabinti kawatu kakatoka kwenye migomba kanaburuza miguu huku damu inatoka
 
Back
Top Bottom