Ulikuwa bingwa wa kucheza mchezo gani ulipokuwa mtoto?

Ulikuwa bingwa wa kucheza mchezo gani ulipokuwa mtoto?

Kombolela nilikuwa nikijificha wananitafuta Hadi wanalia.

Nilikuwa nakimbiza sana Magali ya waya.

Nilikuwa BINGWA wa Kutengeneza pia Gali za Beling, au filters.
Kombolela nliwahi enda kujificha ofis ya mwalimu mkuu [emoji23][emoji23][emoji106] walitafta sana wale watu

Siku nyingine nkaenda chumbani kwa baba nkalala

Ananiamsha asubuhi niende shule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wazazi bongo wanaua sana vipaji vya watoto.
Miye miaka pale Tandale lingo la Kuni nilikuwa napenda sana muziki wa kughani,na lilikuwepo kundi lilikuwa linaitwa Niggaz,Kuna siku Mjomba yangu alinikuta naangalia video shooting ya nyimbo ya hao jamaa aisee

Alinikimbiza siyo kitoto na bakora juu
 
Mpira nlkua nacheza sana
Nadhani mpaka leo mtu anaweza hisi unawaza kitu serious kumbe unawaza mpira

Ila ndoto za mpira zliisha nlpovunjika nlmpiga chenga mbaba mmoja akanizoa nikadondoka a
 
Mpira nlkua nacheza sana
Nadhani mpaka leo mtu anaweza hisi unawaza kitu serious kumbe unawaza mpira

Ila ndoto za mpira zliisha nlpovunjika nlmpiga chenga mbaba mmoja akanizoa nikadondoka a pole baba Swalehe
 
ulikuwa kinyambi uongo
😁😁Sisi mtaan kwetu walikua wanatuitaga kigwa mtu ambae anajua sana kucheza gololi anaitwa kigwa afu kuna gololi vipande zilikua zinaitwa kibeku daaah kitambo sana aisee
 
Back
Top Bottom