Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Kuna lile gemu la bricks,tulikuwa tunalipia 50 Kwa session moja dahNilikuwa kichaa wa game za computer.
Need for speed 2
Mortal kombat 4
Gta
Thief demo
Delta force
Moto racer
Dave, Mario, Angelo
Sina hamu tena na magem sikuhizi,
Halafu kulala mchana Kwa lazimaMpira wa makaratasi ..nmepigwa sana fimbo na Maza
Tupe ushuhuda mkuu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Baba na mama
Kama baba ningewatia mimba watoto wengi sana
Kuna muda simshangai Swalehe alivyo
Kopi kabisa hii
Kombolela nliwahi enda kujificha ofis ya mwalimu mkuu [emoji23][emoji23][emoji106] walitafta sana wale watuKombolela nilikuwa nikijificha wananitafuta Hadi wanalia.
Nilikuwa nakimbiza sana Magali ya waya.
Nilikuwa BINGWA wa Kutengeneza pia Gali za Beling, au filters.
I was always baba kwenye kukojoa sitoi sperms nakojoa mkojo aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aahhaaaa, ulikuwa wapi mkuuI was always baba kwenye kukojoa sitoi sperms nakojoa mkojo aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kichwa waliikatia tamaa muda sana
Miye miaka pale Tandale lingo la Kuni nilikuwa napenda sana muziki wa kughani,na lilikuwepo kundi lilikuwa linaitwa Niggaz,Kuna siku Mjomba yangu alinikuta naangalia video shooting ya nyimbo ya hao jamaa aiseeWazazi bongo wanaua sana vipaji vya watoto.
Mpira nlkua nacheza sana
Nadhani mpaka leo mtu anaweza hisi unawaza kitu serious kumbe unawaza mpira
Ila ndoto za mpira zliisha nlpovunjika nlmpiga chenga mbaba mmoja akanizoa nikadondoka a pole baba Swalehe
Nlikua najaza hata chupa 10 zipo ndani zimejaa gololi kuna mda mwngne ukienda mtaa mwnfne kucheza gololi wanakufuza wanajua utawapuna zoteππTupe ushuhuda mkuu
Boliπ π π ulikua muonevu... afu ukute wewe ndio ulikuwa unagusa sana
ulikuwa kinyambi uongo
ππSisi mtaan kwetu walikua wanatuitaga kigwa mtu ambae anajua sana kucheza gololi anaitwa kigwa afu kuna gololi vipande zilikua zinaitwa kibeku daaah kitambo sana aiseeulikuwa kinyambi uongo